Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mie mpaka leo nina nyimbo za namless.
Nasinzia nikikuwaza bonge la music.
Pia kuna Kanipa juju.
 
Tanzanians are celebrating the death of a person as if their life depend on it. Pathetic creatures.
I don't think so, ulitunaga sana kwa helicopter ndio sababu wanaileta, mpaka chopper inaua CDF sio mchezo ni inshu mbaya kwa usalama wa Chopper za jeshi.

Anyway Poleni sana for your Loss.
Mzee wenu hapo anaonekana yupo patriotic kwa picha. 🙏
 
Shida yenu Watanzania huwa mnajaribu kuforce watu wa nchi zingine wawe na chuki dhidi ya Kenya jinsi mlivyo nayo. Najua huwa inawauma sana mkiona Kenya ikipnyeshwa upendo na Dunia nzima mitamdaoni.😂😂😂
Nadhani umekosea, hiyo statement inawafaa nyie kweli kweli.

You guys has been spreading misinformations about TZ since Nyerere day, hatujawasahau Corona Time, Magufuli Death.

Alafu unataka kujipa umuhimu hapa.
 
Naona unajitutuma sana. Just nenda streaming sites zote hata YouTube, compare your old school na our simple as that.

MR. NICE tu anatosha kuwaua.
 
Shida yenu Watanzania huwa mnajaribu kuforce watu wa nchi zingine wawe na chuki dhidi ya Kenya jinsi mlivyo nayo. Najua huwa inawauma sana mkiona Kenya ikipnyeshwa upendo na Dunia nzima mitamdaoni.😂😂😂
Sisi hatuna shida personal na nyie ni tabia zenu ndio zinawahukumu, we are mostly friendly nation na kila mtu anajisikia poa kuwa na sisi, nyie ndio shida, hata we unajua namna mademu zenu ni pasua kichwa hasa when it comes to chapaa.
 
We ebu acha upupu, siongelei throwback hits, nataka unioneshe hit makers wenu hao wanafanya nini kwenye mainstream music kama hao Legends wetu, Nonini anaweza toa banger saa hii ikahit kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…