Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wameanza kuimba juzi. Kitambo East Africa ilishkwa na Kenya and to some extend Uganda. Sheng’ ndio ilikuja ikaharibu music industry ya Kenya.

Anyway enjoy Kenyas old school.

Pilipili
Waire
Nazizi
E Sir
Gidi Gidi
Prezzo
Logombas
Nameless
Wahu
Nonini
Redsan
Jimwat
Lady S
Mejja
Rufftone
P-Unit



View: https://youtu.be/IM9vSMtWGmU?si=Hn7M0zPdPDzDXWlj
 
Mpumbavu wa wapi wewe hao jamaa wako kwenye game zaidi ya miaka 20! Na hamna mwanamziki wa Kenya amefika level zao! Unawafananisha na wakina Nonini? Seriously Nonini mbele ya AY?
 
Mpumbavu wa wapi wewe hao jamaa wako kwenye game zaidi ya miaka 20! Na hamna mwanamziki wa Kenya amefika level zao! Unawafananisha na wakina Nonini? Seriously Nonini mbele ya AY?
AY ni mtoto. Single track yake ya kwanza si ni 2002? Huezilinganisha AY na the likes of E-Sir.
 
Digital modern studio TBC ni ya serekali asilimia 100 naomba niletee digital modern studio ya KBC mm nifunge ACC SASA hvi🀣🀣
Studio sio kitu ya kusherekea. Ama hamkuwa na Studio Yemen?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…