Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Nyang'au wanachukia wakiona hivyo, ha ha haπAny Kunyaland team on the list please ππ
View: https://www.instagram.com/p/C55fCfFK7cs/?igsh=b3ZmYXU1ZGw1ZDNl
Sasa muhindi atakuaje muarabu while these are two different races?Ni sawa na ulize kwa hiyo muhindi sio muarabu πππ Kunyaland elimu yenu ya hovyo kweli
A tiny percentage?Sasa nani ana double standards? Hapo kwenu utajiri umeshikiliwa na Waarabu na Wahindi - mnawaita Watanzania kisa wana uraia, huku kwetu a very tiny percentage of our land imemilikiwa na Raia wenye asili ya Kizungu, mnasema sio Wakenya. Huoni umejijibu swali lako la double standards?
Yes, a tiny percentage.A tiny percentage?
Alafu hao wahindi na waarabu eti wanamiliki utajiri wetu, kwani wakiyumba kuna kitakachoharibika si wanakua replaced.
Kipindi cha Magufuli unajua ni wahindi na waarabu wangapi walikula msoto sana.
Hadi huyo Mo. Still we was not affected?
Chandaria ni mzungu?π...huku kwetu a very tiny percentage of our land imemilikiwa na Raia wenye asili ya Kizungu,..
Mbona una mambo ya kitoto wewe nyang'au?πWezi wa national anthem watakwambia SA ndo iliwacopy
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1780853402957660625?t=TaHjlrEF2ESHEnn8jL7Vdw&s=19
Nchi gani ilianza kupata Uhuru hapo na nchi gani iliwasaidia kupata Uhuru wao hzo nchi ulizoweka ππππ akili kichwani, kasome history Alaf kuja hapa ng'ombe hiiWezi wa national anthem watakwambia SA ndo iliwacopy
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1780853402957660625?t=TaHjlrEF2ESHEnn8jL7Vdw&s=19
Yemen walipata Uhuru lini?Nchi gani ilianza kupata Uhuru hapo na nchi gani iliwasaidia kupata Uhuru wao hzo nchi ulizoweka ππππ akili kichwani, kasome history Alaf kuja hapa ng'ombe hii
Timu ina thamani ya Euro 25,000 sawa na kama milioni 68! πππAny Kunyaland team on the list please ππ
View: https://www.instagram.com/p/C55fCfFK7cs/?igsh=b3ZmYXU1ZGw1ZDNl
Naona nyumba za tope hapo mbele kidogo ππMombasa