Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who is CAF?

Even orientation ya uwanja imewashinda yet you want to compete with Kenya on Stadiums? Yemen iko na how many stadiums.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

CAF ndio organizations inayoongoza mchezo Africa na iko chini ya FIFA, so ili uwe approved lazima ukidhi vigezo stahiki vya kiwanja cha mchezo, kwa SASA fanyeni second renovation ya Nyayo muchezeshe CHAN manake hii itakua renovation ya pili ili watu wale pesa tena
 
Kumbe dar is a slum haina 24 hour economy, Nairobi hadi kwa estates kuna maeneo zina 24 hour economy. 😂😂😂 Munakuanga nyuma kama matako.






Kuna kitu unafeli, hizo zipo hapa tu. Hiyo imelenga kufanya Kariakoo na mitaa yote ya maduka ya biashara kubwa kubwa kuwa 24HRS sio vifood kiosks.

Sababu kwa bongo hizo biashara zinahitaji security kubwa sana especially KARIAKOO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…