Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya sawa Acha sifa leta kalamu niwasainie muwe na CAF and FIFA standards Fanya upesi ila usisahau kuna na kitu kidogo plz ukiwaambia wenzakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Viwanja vya CAF ni Azam, tulitoka huko kitamboπŸ˜ƒ
 
Nasema leta kalamu niwasainie muwe na standards za CAF na FIFA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi hao CAF hata siwaamini sasa. Naona kama ni watu bogus walaji wa mlungula. Kama matope kama Azam yawakuwa approved hata kama ni kwa group stages pekee wakati stadium nyingi hapa Kenya zina facilities bora kuwaliko then kuna ufisadi sana hapo CAF. Hizo ni approvals za makaratasi.
 
Ukiwaona hawataki kushare picha za changing rooms jua tu ni vichekesho. Zingekua poa wangekua wanaziangusha humu Kila siku namna wanavyopenda sifa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…