Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
One casualty so far๐ ๐ ๐Kwa mdomo wame intercept ila Kwa ground Hali Iko hivi ๐๐
View: https://twitter.com/sarabahaa94/status/1779294990776082915?t=Jfm5d9HYhcBbXEyOeKJ6Mw&s=19
Hii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ US na UK wamepewa kazi na Israel hapo Kwa kibaraka wao Jordan
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779263064732520671?t=wHcYseDSFAS6nnWlgOvCEw&s=19
Mzigo unaendelea kuja ๐๐
View: https://twitter.com/jacksonhinklle/status/1779336328401826052?t=blabl33xd2irvzmR_8NoiQ&s=19
One casualty so far๐ ๐ ๐
According to twitter jihadists ๐ ๐ ๐
Ila basi tuu ila mambo ya vita sio poa kabisa just imagine inazuka vita ya 3 ya Dunia Kila kitu kitenda kuanza upya baada ya hasara kubwa ya maisha na mali.Hii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!
Huu ndio wakati mzuri kupeleka democracy Iran๐ค๐คHii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!
Hao BRICS wataanza kupigana wenyewe vita vikizuka. Argentina na India wameonyesha support kwa IsraelIla basi tuu ila mambo ya vita sio poa kabisa just imagine inazuka vita ya 3 ya Dunia Kila kitu kitenda kuanza upya baada ya hasara kubwa ya maisha na mali.
View: https://twitter.com/Brics_Dollar/status/1779256957649531263?t=9LLRBVataencVvMWWhhGqA&s=19
Usafiri wenu mkubwa tunaujua mabasi ya dizaini hii yapo machache sana uko kwenu
Sema Azam TV wewe nyang'au ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ#FootballKe live from KBC๐View attachment 2962627
Kwahiyo KBC anarusha maudhui ya Azam TV bure!!๐คฃ๐คฃ๐คฃWacha tule pesa za wajinga๐ค mechi tunaangalia KBC๐
Sasa embassy ya US hapo Tanzania imekuwa Dunia nzima? Yani Wabongo mnahitaji elimu kama jana.๐๐Ngoja tuone yule wa kwao kama dunia itastuka hata kumbukizi ya kufa kwake. Wazungu washenzi sana wanakutumia kwa manufaa yao kisha wanakutupa as a piece of trash.
Iran, Persia (Waajemi) Watalam wa vita Karne na Karne.Hii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!
The attack was not about killing people!! Have a brain please. You think everyone is like Israel, or USA and NATO ??One casualty so far๐ ๐ ๐
You donโt know anything about Kenyan upcountry buses. Kenyan long distance buses are much better than those Chinese boxes you have down there.Usafiri wenu mkubwa tunaujua mabasi ya dizaini hii yapo machache sana uko kwenu
Shamba boi umeendelea kuongea upumbavu wako wa kishamba.? ๐๐๐ Kwamba kenyan products are much better than that of China.? Aah mamammaeee.You donโt know anything about Kenyan upcountry buses. Kenyan long distance buses are much better than those Chinese boxes you have down there.
Tusitukaniane wazazi sasa we jamaaโฆโฆhii vita ni yetu sisi wazazi waachwe!!Nimekuuliza swali, unajua hata babako ni nani? Ushaimuona? Ama wewe mimba yako ilishikwa kwa street usiku?