Kuna raia kibao asili ya Iran na Uarabuni na India wamefia Tanzania na wamezikwa Tanzania.Acah kujilazimisha Rostan ni muiran! Hata hao waarabu na wahindi hapo watarudi kwao wamekuja kuchoza mali za mazuzu! Hamna anaetaka akae Tanzamavi
Asante kwa kutuonesha Barabara nje ya Lamu🤣🤣🤣🤣 eti witu to Lamu
Hizo roots zinasaidia nini bob!?Tunaongelea roots.
Experience in executive search in Kunyaland and EA! Anashinda JF na Anavaa chain za rabbit!
Haya, tuonyeshe Mtanzania mweusi Tajiri.Vitambulisho vya taifa hakuna mtanzania mweusi au wakijani wote ni watanzania
Wewe hujui kwenu nyamaza. Siku utafukuzwa Tanzania sijui utakimbilia wapi?Muulize dada yako anajua mm kwetu wapi au unamuogopa dada yako 🤣🤣🤣🤣🤣
Top 20 richest people in Tanzania are all Indians and Arabs.Haya, tuonyeshe Mtanzania mweusi Tajiri.
Hawa ni kina Nani?? Wanaomiliki utajiri wa watu million 22 Kenya Yani watu wanne wanautajiri wa watu zaidi ya million 22🤣🤣👇👇👇👇Top 20 richest people in Tanzania are all Indians and Arabs.
Dada yako anajua SASA ask her plz 🤣🤣🤣Wewe hujui kwenu nyamaza. Siku utafukuzwa Tanzania sijui utakimbilia wapi?
Are these top 20 people in Kenya?Hawa ni kina Nani?? Wanaomiliki utajiri wa watu million 22 Kenya Yani watu wanne wanautajiri wa watu zaidi ya million 22🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 2962529
Kuku anajua kwao, lakini wewe hujui.Dada yako anajua SASA ask her plz 🤣🤣🤣
Wacha kuropoka Nawe hao wakina Dau na Kairuki unawaweka sentence moja na wakina Mengi na Rostam, kweli?Siasa tena!?
Kueleza kuhusu Rostam Aziz siasa!?
Alikua Reginald Mengi kwasasa nadhani ni Ramadhan Dau.
Pia kuna wengine baadhi kama Kina Msuya na Doctot Kairuki.
🤣🤣🤣🤣 Hebu nicheke mimi.....Grassroot football za Kenya ni kama top most football huko Tz.
View: https://www.youtube.com/live/wbm-FryvapI?si=OM9avok642KdEVqF
Mtu kama wewe utamjulia wapi DJ mkubwa kama huyo?? Unakaa kogorosho huko, unashindia chapo na maharage, ukibadili sana mutura!!!Hajulikani and that’s why no serious Kenyan is talking about him.
shirika la mtu binafsi tena mchaga sasa biashara ya mtu inatuhusu nini hayo ni maisha binafsi ya mtu na familia yake kama uhuru na mama ngina vile.Precision air ownership. We own them😎
View attachment 2961770
mwanamke na mwnamme wote sura moja ivi ni wapi mmemkosea mungu sura kama mnalia vile.
Wewe kima unajua nini kuhusu mziki na vile remix hufanywa.? 🤣🤣🤣Unaelewa kingereza kweli? Jamaa amesema Nandi ndio aliamua kumueka kwa hiyo remix, yeye hakuomba.
Broo hio ni kampuni ya mtu usituletee ujinga sisi hatuna ukabila sisi huwa tunapanda hna huwa hatufwatilii hilo cha msingi wanatoa huduma bora.Narudia tena, Kenya airways is the largest single owner of precision airView attachment 2961968