Source?Precision air ownership. We own them😎
View attachment 2961770
Na hiyo Kenya Airways ni yenu?Precision air ownership. We own them😎
View attachment 2961770
Naona umeniquote ili uonekane unajua lakini hakuna kitu cha maana unasema.Na hiyo Kenya Airways ni yenu?
I mean mmliki ni mkenya? Wazee wa ndege 3 chakavu?
Wakati huo Jomo Kenyatta alikuwa anafikiria namna gani yeye na familia yake wanaweza kumiliki robo tatu ya ardhi ya unyang'auni😎Mwalim alikuwa anaona mbali sana angalia kundurenda wanavyoteseka nowadays View attachment 2961771
Ushago roads giving dar a run for its moneyWanatype wakifuta hakuna comeback....
View attachment 2961755View attachment 2961758View attachment 2961759
Kunyaland haitokaa ilingane na Tanzania kwenye barabara hata siku 1, hii ni Songea 1000 km from DarUshago roads giving dar a run for its money
View: https://www.instagram.com/reel/C5qd7JeMS0Q/?igsh=MWd3YmI1bXIwam91NA==
Hii quality ya hii asphalt mtaipata siku Tanzania imekuja kujenga barabara Kunyaland, zingatia ni 1000km from DarUshago roads giving dar a run for its money
View: https://www.instagram.com/reel/C5qd7JeMS0Q/?igsh=MWd3YmI1bXIwam91NA==
Huna habari
View attachment 2961792
Wasikupe headache vitasa walivyokung‘utwa humu ndani vinawatia uzuzu!We ndio huna habari vizuri 😂
From official Precision air website not Wikipedia
View attachment 2961800
Thanks for confirming that Kenya airways still remains the single largest shareholder in Precision airWe ndio huna habari vizuri 😂
From official Precision air website not Wikipedia
View attachment 2961800
Mo-Town is changing so fast before our eyes..Just 3 blue towers and it would be the top of the food chain ..😃😃😃
Kunyaland haitokaa ilingane na Tanzania kwenye barabara hata siku 1, hii ni Songea 1000 km from Dar
View: https://vm.tiktok.com/ZMMxKnuYp/
Wakati huo Jomo Kenyatta alikuwa anafikiri namna gani yeye na familia yake wanaweza kumiliki robo tatu ya ardhi ya unyang'auni😎