chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,078
Kunyaland ina matatizo mengi sana kushindwa kulipa madaktari miezi 9 mfululizo sishangai sababu nothing works there ndio maana biggest slum in the world ipo hapo naislum inahudumia watu million 4Ndio maana wakaitwa failed state, hilo jina linawafaa sana.
Daktari ni mtu muhimu sana kwenye nchi sasa inakuwaje huzingatii masilahi yake!
Tatizo huo ukurasa ni wa wakenya wenyewe ha ha ha😎😎
Ushuzi wa nguruwe👉💩 Sama boy 255 leta kalio huku nakuita.🤓Wageni wana raha wenyeji ni shida tupu. 🤣 🤣
Bora Kule Sam Nujoma kashafumua kati pale .Hivi hawa wakandarasi wa BRT Phase 4 na 5 wanafanya kazi gani? Mbona sioni progress yoyote ya maana miezi 6 sasa? Toka kaweka mawe yake barabarani kapotea kabisa…..namna gani hii?
Wakenya wengi ni mashabiki wa Yanga, japo ni kweli wapo wale wanaoipenda simba lkn robo tatu ya mashabiki wa mpira kenya wanaipenda Yanga kuliko Gor Mahia.
View attachment 2961324View attachment 2961325
Yet balance of trade favored Kenya last year. Silly boy.Kundurenda ni mateka wa Tanzania
Chakula,Mpira,Mziki,Utalii nk hawana pa kutokea kwa sasa
Hata ikiwa ya Mkenya iko wapi?Uko sure hii Baraza Resort and Spa sio ya Mkenya?
Why are they using Kenyan code(+254) in their telephone contact?
View attachment 2960983
Awamu hii mambo yanaenda taratibu sanaaa.Hivi hawa wakandarasi wa BRT Phase 4 na 5 wanafanya kazi gani? Mbona sioni progress yoyote ya maana miezi 6 sasa? Toka kaweka mawe yake barabarani kapotea kabisa…..namna gani hii?
BTW sio ya Mkundustan Bali mwekezaji aliyekuwa Kundustan!Hata ikiwa ya Mkenya iko wapi?
Iko Kenya au Zanzibar?
Kwani hoteli mnazomiliki Kenya zote ni za wazawa!?
Mbona reasoning ya kipuuzi hii!?
Dogo anajua sema anahitaji concentration tu awapo langoni.
Hata ikiwa ya Mkenya iko wapi?
Iko Kenya au Zanzibar?
Kwani hoteli mnazomiliki Kenya zote ni za wazawa!?
Mbona reasoning ya kipuuzi hii!?
Hapo Sasa! Roho inawauma…Baada ya kugundua kawekeza sehemu isiyo sahihi kaibukia Tz Zanzibar