Hyatt5* Hotels in Nairobi
1. JW Marriot Hotel
2. Serena Hotel
3. Ledger Plaza Hotel
4. Girrafe Manor
5. Sarova Stanley
6. Palacina Suites
7. Villa Rosa Kempinsky
8. Movenpick Hotel
9. Sankara
10. Tribe Hotel
11. Windsor Golf & Country Club
12. Fairmont The Norfolk
13. Hemingways
14. Laico Regency
15. Weston Hotel
16. Kwetu Nairobi, Curio collection of Hilton
17. PrideInn Azure
18. The Boma
19. Panari Hotel
20. Crown Plaza Airport
21. Concord Hotel &Suites
22. Radisson Blu Hotel
23. Dusit D2 Hotel
24. Emara Ole Sereni
This governmentt hates accountability. 🤣 🤣Sasa mzae ameulizwa swali ngumu akatake it personal 😂
View: https://www.instagram.com/reel/C5QJARdKcWI/?igsh=MTNlY3ZsZTZnOTJxdA==
Huyu Nyambura ni wa wapi?…
Una uhakika na usemacho!?Kwa star rating hamna 4.5 ama 4.8. Hizo ni customer rating. Wewe ni dwanzi tuu kama mwenzako Mr. Guesthouse Ulale.
Utandawazi umekuja kuwaumbua vibaya sana😎Wakenya hawana jipya sasa.
Kwani hujui Nyambura pia ni jina la kitanzania?😎Huyu Nyambura ni wa wapi?…
Hawaamini macho Yao!Utandawazi umekuja kuwaumbua vibaya sana😎
Nimewaambia walete list za those 5* hotels za Zanzibar wakashindwa, kazi ni tu kupayukapayuka.Hoja gani uko nayo wakati unaleta customer reviews kama star rating. Wewe rudi ukalale kwa maguesthouse maanake hizo ndio zako.
38 5 star hotels in Zanzibar vs 21 in Nairobi! End of story!Nimewaambia walete list za those 5* hotels za Zanzibar wakashindwa, kazi ni tu kupayukapayuka.
Uko sure hii Baraza Resort and Spa sio ya Mkenya?Mie nazungumzia ratings kichwa wewe.
Kama unabisha aya.
Hizo ndizo nazozijua zilizobaki nazozijua ni za nyota 4.5-4.8.
Nimeuliza wajuzi wamenitajia zingine tano za nyota tano.
1)Baraza resort.
2)Breeze .
3)Tulia
4)Zanzi
5)Riu.
Hizi nimeuliza wanaofanya kazi ila zile nilizotaja ndizo nazifahamu mimi kama mimi.
Tena sio 49?😂😂46 5 star hotels in Zanzibar vs 22 in Nairobi! End of story!
Now go to Quality Hotels and Resorts: Nairobi vs Zanzibar and see where is Nairobi! Though ur list has half of the hotels not 5 star category, Nairobi is way behind Zanzibar!
See also here 38 5 star hotels in Zanzibar
View attachment 2960663
https://www.tripadvisor.com/Hotels-g482884-zfc5-Zanzibar_Island_Zanzibar_Archipelago-Hotels.html
vs 21 5 star hotels in Nairobi
View attachment 2960660
we kenge alieyepost luanda ni nani kama sie nyie punguani mmepost mkasema ni mombasa.Mkishashindwa mnaanza kuleta miji ya nchi zingine. Hapa tuko Dar vs Nairobi. Iweje mshinde mkipost mara Luanda, Addis n.k, kama mnataka ligi nao si mseme. Mnapenda kutafuta pa kujificha.
Mkurya kutoka Tarime,Mara-Tanzania.........Wakurya na Wakikuyu wana mila na majina yao yanafananaHuyu Nyambura ni wa wapi?…
Huyo nyang'au anafikiri Nyambura ni jina la wakikuyu pekee na linapatikana Kenya tu😎😎Mkurya kutoka Tarime,Mara-Tanzania.........Wakurya na Wakikuyu wana mila na majina yao yanafanana
Ni swali tu ameuliza. Hivi mbona watu wa akili ndogo huwa mna hasira sana? Inferiority complex.Huyo nyang'au anafikiri Nyambura ni jina la wakikuyu pekee na linapatikana Kenya tu😎😎
Wengi wao uwa wajuaji na hawatoki nje ya nchi yao kutazama nchi zingine zinasonga mbele,ndio wana imani kuwa nchi yao ni bora kuliko nchi yoyote Africa.......wakati shida waliyo nayo haielezwki kirahisiHuyo nyang'au anafikiri Nyambura ni jina la wakikuyu pekee na linapatikana Kenya tu😎😎
Upuuzi mtupu😎😉Ni swali tu ameuliza. Hivi mbona watu wa akili ndogo huwa mna hasira sana? Inferiority complex.
unajua Tanzania ina Hyatt ngapi?
Bro.. are you talking about Kenya 🇰🇪 or Tanzania 🇹🇿???.. sounds like yo got yourself confused… Btw Kenyans travel 10 times more than You…Wengi wao uwa wajuaji na hawatoki nje ya nchi yao kutazama nchi zingine zinasonga mbele,ndio wana imani kuwa nchi yao ni bora kuliko nchi yoyote Africa.......wakati shida waliyo nayo haielezwki kirahisi
sema jina la Kijaluo!Kwani hujui Nyambura pia ni jina la kitanzania?😎