Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hawakupata ardhi somewhere near Arusha town? Hapo ni mashambani jamani. Even the type of houses in the first pic tells it all.

Yani Ile ya Dar izungukwe na uswazi alafu hii hapa mnaamua kujenga eneo kama hii!!
How did you know kwamba hapo ni mashambani.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Arusha ni green everywhere. And guess likija suala la majumba ya kitajiri and greenery hata Mombasa haitii pua mbele ya Arusha.
 
How did you know kwamba hapo ni mashambani.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Arusha ni green everywhere. And guess likija suala la majumba ya kitajiri and greenery hata Mombasa haitii pua mbele ya Arusha.
They say a picture speaks a thousand words. Kama aina ya nyumba nimeona kwenye hizo picha ndio za kifahari then I rest my case
 
They say a picture speaks a thousand words. Kama aina ya nyumba nimeona kwenye hizo picha ndio za kifahari then I rest my case
Kama unaona unajimudu na unaweza kuitetea mombasa dhidi ya Arusha city kwenye suala zima la makazi, twende ground tu, ukielemewa pia rukhsa kupost zile gorofa za 2 floors chakavu hapo Mombasa city center. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ww ni mpuuzi mamelody kuna wachezaji wametoka Chile na Brazil wanalipwa alot of money unafananisha na yanga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Goli hili hapa halali kabisa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Africa kuna vituko Sana View attachment 2955004
Wamakonde wanasemaga mwana wa pakaya (mtoto wa nyumbani)rais wa caf analindwa πŸƒβ€β™‚οΈ
 
80% ya Mombasa people r Bangladesh slum dwellers!
Anafosi tufanane na hizo 2 floors chakavu buildings zilizosambaa mji mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna gorofa zisizozidi kumi tu zenye hauni hapo Mombasa, the rest ni takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…