Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ranking ilitoka jana, you are always behind news.
Kwani nimekataa bob!?
Kwa hiyo wataka kusema wewe huwa unapata kila taarifa on the spot??
Nimesema subirini rank zitatoka tena tofauti na hii"rank hutoka muda baada ya muda".
Kaa kwa kutulia.
 
Umekua wa mama tena, nani mwanzilishi wa Masoko, Stend, Hospital kila mkoa na wilaya?

Mkimpa credit mtapungukiwa nini?
 
Umekua wa mama tena, nani mwanzilishi wa Masoko, Stend, Hospital kila mkoa na wilaya?

Mkimpa credit mtapungukiwa nini?
Unaongea kama mjinga mmja hivi.Kabla ya huyo unaedai alikuwa mwanzilishi Nchi hii ilikuwa Haina stendi Wala masoko? Nikutajie? Je masoko and the likes vimekoma kujengwa?

Mwisho tumpe maua yake yapi Sasa Kwa mfano? Alipewa maua yake wakati wake Sasa hivi ni maua ya Samia.

Kazi iendelee Bado hamjasema Hadi mseme πŸ‘‡πŸ‘‡

 
88Nairobi is owned by Jonathan Jackson, a Kenyan born and raised in Eldoret.

I told you that ukionodoa GTC na Expressway, hayo majengo mengine yanamilikiwa na wakenya ila ukarudi na povu zako za kawaida huku ukipigiwa makofi na vilaza wenzako.

And just to ask, ni uwanja upi huo unaojengwa na kumilikiwa na wazungu for 100 years?

Hapo ndio desperation imekufikisha?
 
In ichoboy's mind, these buildings are owned by Chinese and Europeans, just because they don't have any meaningful development of this magnitude outside of their cbd. Ask him for evidence atakuambia "upende usipende"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Pole sana kwa maumivu myemen. Sio kupenda kwako
 

Attachments

  • 2-bedroom-apartment-for-sale-in-kileleshwa-kayum.jpg
    219.6 KB · Views: 22
Kwani DAR CBD ni ipi mkuu according to you.? πŸ˜‚πŸ˜‚.

Unazijua hizi.?
Upanga
Kariakoo (EA's concrete jungle)
Osterbey
Mikocheni
Masaki
Mbezi beach
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C5WhfRvrbpF/?igsh=MXMwZTN1bTcyZjB4Nw==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…