chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Na hio ni max speed mara nyingi haitumiki inamaana kwa lugha nyepesi cruising speed ni 80km/hr π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2953089
Nliwambia napeleka msiba twitter kimewaka π€£Wameshaanza kunyukana huko baada ya kuchungulia marking scheme yao πππ
View: https://twitter.com/its_vus1/status/1775567879112479080?t=2RiGAEdZpRsXG7zf6c3TmA&s=19
Linatokota kama kawa!
Sasa ushasema Watanzania, watanzania na mambo ya uingereza wapi na wapi ?
Na hio ni max speed mara nyingi haitumiki inamaana kwa lugha nyepesi cruising speed ni 80km/hr π€£π€£
Ebu soma hapo last paragraph. π
Ishu sio kuongea lugha yenu ila ku assume muingereza, muhispania ama mjapani anaelewa kiswahili ndio nina shida nayo, nipo sure kuna watanzania wengi wanaoelewa kiingereza, so make use of them kuwa translators πππSio lugha yetu vipi mkorea akienda india anaongea kihindi? mtaialand akienda marekani anaongea kingereza?
Nilidhani hizo basi ni za zamani hamzitumii tena, au mlisahau mlishajaribu kutudanganya ππ
Kwamba hizo basi unafananisha na vipanya!Nilidhani hizo basi ni za zamani hamzitumii tena, au mlisahau mlishajaribu kutudanganya ππ
ππππ¨Nilidhani hizo basi ni za zamani hamzitumii tena, au mlisahau mlishajaribu kutudanganya ππ