Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moja kati ya vigezo vya mji wowote kupewa nafasi ya kuwa mwenyeji wa mahindano ya Afcon ni mji huo kuwa na angalau five 🌟 hotels zisipungua tano.. najiuliza tu maswali, ikiwa ni hivyo basi, hapo kunya land kuna mji gani wenye uko na vigezo vya ku host Afcon kando ya Nairobi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hawa jamaa hawana qualifications sio tu kwasababu ya viwanja lahasha, hata miundombinu ya miji yao hairuhusu.
 
Kuna chizi kakazana kupost takataka inayoitwa bukungu stadia akiihusianisha na ku host Afcon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Swali ni je hapo kakamega town kuna mahali pa kuwalaza wageni wakija.? Yaani kuna hata 1 🌟 hotels mbili.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwahyo definitely the city itself doesn't qualify, wachilia umbali hio uwanja mbaya 🀣🀣🀣
 
Kenya is killing Egypt in Volleyball Semi-finals πŸ˜‚πŸ˜‚

Right now it's 2-0 in favor of Kenya.

 
Ninaanza kama ifuatavyo. The Admin user of your Immigration website is: admin-12

Anza kujamba kidogo kidogo na uanze kuogopa kuanzia leo 🀣 🀣 🀣 🀣
Story za Abunuwasi. Bado hujahack? Unaskianga tu neno kuhack..............................unadhani website ya immigration ikuwe able kuhackiwa na mambumbumbu kama wewe hii miaka yote haingekuwa imeshaahackiwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Story za Abunuwasi. Bado hujahack? Unaskianga tu neno kuhack..............................unadhani website ya immigration ikuwe able kuhackiwa na mambumbumbu kama wewe hii miaka yote haingekuwa imeshaahackiwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapigie simu huko watakwambia 🀣 🀣 🀣 🀣 Wewe Mbumbumbu utajulia wapi? Watu huko wanajinyea tu.
 
Unataka kujifanya computer wiz na hakuna kitu unajua. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Umewapigia simu 🀣 🀣 🀣 🀣 Ngoja nikupatie Data nilizozichukua kutoka kwenye server yenu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

JSON:
{
  "id": 1,
  "name": "admin-12",
  "url": "http://demo.immigration.go.ke",
  "description": "",
  "link": "https:/",
  "slug": "admin-12",
  "avatar_urls": {
    "24": "https://secure.gravatar.com/avatar/c5e82122bfc23d7a3da06816f7d605a8?s=24&d=mm&r=g",
    "48": "https://secure.gravatar.com/avatar/c5e82122bfc23d7a3da06816f7d605a8?s=48&d=mm&r=g",
    "96": "https://secure.gravatar.com/avatar/c5e82122bfc23d7a3da06816f7d605a8?s=96&d=mm&r=g"
  },
  "meta": [],
  "_links": {
    "self": [
      {
        "href": "https://immigration.go.ke/"
      }
    ],
    "collection": [
      {
        "href": "https://immigrats"
      }
    ]
  }
}
 
Sasa hii ndio unaita hacking? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…