Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila mara tukipost picha za Nairobi zikiwa na miti humu nyie husema Nairobi ni Pori Hadi mkaipea jina Naipori. Inakuwaje Sasa mnacelebrate miti? Ndio maana mimi husema ubishi wenu humu haukuwa hi objective.
Nina uhakika Naipori ilitokea sababu ya Mbunga. Sidhani kama miti tumebisha maana mnaiita Dar Concrete Jungle, ila mnaoneshwa miti.
 
Ujinga na umaskini ni combination mbaya sana.
Ongeza illiteracy pia hapo.

Mwambie unaezamlipia food yake ya whole month kwa hoteli mzuri, sio kwa zile vibanda yeye hukunywa Mirinda za 20 bob.

Alafu naona anajaribu kukutisha, Mimi sijaiona mbwa mwenye hana meno akitisha hata kukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
namba za gari hata ukimpa fundi maiko hawezi andika huo ujinga cheki ziilivyo.
 
Ongeza na rent 🀣 🀣 ........Huyo huwa namsamehe juu ni kijana mdogo. Niliona vipicha alipost humu nikaamua kuachana na yeye. Below my paygrade.
 
Hii ya hapa au sio ww ulioleta🀣🀣🀣
View attachment 2938652
hiace za posta kigogo luhanga enzi njia haijafika mabibo zilikuwa zinageukia mtipesa hata loyola sec hazifiki.
hio ruti ndio yenye gari za papaa fololo 26life mwenge mnazi mmoja, mbezi mnazi mmoja na sim2000 mnazi mmoja. anatuwekea picha za enzi ya mkapa anaingia madarakani.
 
Hichi kijamaa NairobiWalker a.k.a kibera walker nakipigaga za uso hadi kinanichukia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usi kasirike kwa kiwango hicho mzee, take it easy, spana zimekolea hadi unani attack personally na hunijui πŸ˜‚πŸ˜‚ una buni tu weakness zangu halafu unazi'address 🀣🀣🀣
 
Ongeza na rent 🀣 🀣 ........Huyo huwa namsamehe juu ni kijana mdogo. Niliona vipicha alipost humu nikaamua kuachana na yeye. Below my paygrade.
Usisumbuane na rent. Huyo bado anaishi kwa nyumba ya mamake na akitoka hapo anaenda kuishi kwa nyumba ya msichana. Haitaki rent saa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…