Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sibishani na mtu asiejielewa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Dar inakushuglisha usiku na mchana yani siamini kama dar ya leo 2017 inavowanyima raha wakenya
hahahaha.....
ila mi si mtu wa uongo

Kirikou
Area: 0.410 kmยฒ

kama una swali uliza
 
hawa jamaa wakicheki news za Kenya hushangaa kwa nini sisi huvaa tai na suti na kuonyesha sura ya kazi ndani ya CBD....

enda CBD yao sasa uwakute wametandika mikeka sijui jamvi nje ya office tower wakiwa vifua wazi wanabarizi
Hahaha...hiyo inaitwa gumzo mitaani...ile ya Lolani Kalu. wanabarizi huku wakiteremsha kaimati kwa kahawa chungu. Am just trying to picture such a scenario pale Tom Mboya Street au Moi Avenue. wabongolala ni watu wa ajabu kweli
 
hahahaha.....
ila mi si mtu wa uongo

Kirikou
Area: 0.410 kmยฒ

kama una swali uliza
Nakupatia utalii wa macho kariakoo. Maana ninakuona wewe bado ni mshamba sana
This is Kariakoo





 
Ukitaja kiiriakuu uskose kutaja Upanga, jangwani, mkochini, kijitonyamba.....
ila ukweli utabaki pale pale

Kirikuu
Area: 0.410 kmยฒ

ukiwa na swali usione haya kuuliza
Naona sasa umenyosha mikono umeanza kutokwa mapovu mdomoni kama mwehu.
Kariakoo hiyooooo




 
thread imeanzishwa na Anna na Jay456, acha kuchukua somebody else's credit. talk of yourself, always use 'I' rather than 'We'..... in other words mimi na wewe hatuna tofauti kwa hii thread
 
Hahaha...hiyo inaitwa gumzo mitaani...ile ya Lolani Kalu. wanabarizi huku wakiteremsha kaimati kwa kahawa chungu. Am just trying to picture such a scenario pale Tom Mboya Street au Moi Avenue. wabongolala ni watu wa ajabu kweli
Halafu imeparara...nyeupe kila mahali ,very ugly.
hizi city za pwani mbona zinatisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ