Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your special forces helmets are what KDF uses for regular soldiers… you are really a third world army..🤣🤣
 
Acha kuondoka kwenye mada. Weka Referral hospitals za hapo kenya kwanza. Unataka kujificha kwenye kichaka

Tanzania sasa hivi nimeweka 300+ Kenya umeweka zero 🤣 🤣 🤣 🤣 Unapiga umbea tu.
Nimekuambia our level 5 hospitals huwezi compare na hizo hospitali zenu za mkoa ambazo hazina facilities za kufanya delicate surgeries. Huko bongoslum kila kitu ni Muhimbili tu na a few zonal hospitals. 😂 😂 😂


View: https://x.com/hon_nyoro/status/1397845787594440704?s=20
 
Dispensaries - 8,037 (Wakenya wanakodoa macho tu 🤣🤣🤣🤣) Tanzania is serious vijana
Sasa baada ya hapa nitaanza kutupia picha

1. Tunaanza
MOI YAFANYA UPASUAJI KUONDOA UVIMBE KWENYE UBONGO KUTUMIA PUA NA KWENYE UTI WA MGONGO,WAIPONGEZA SERIKALI



 
Kama Hawa ndio special forces wa Tanzania then I give up 😂😂
🤣🤣🤣🤣Yes you must give up like your special forces give up to bandits in turkana
Yani nyie wakenya ni washamba kweli kuvaa hizo gear ndio big deal now days kuvaa special forces military gear kama hivo sio kitu Cha kutisha
hata terrorist wanavaa kama hivo now days hata wewe unaeza agiza Alibaba kama unaweza
Waangarie Hawa hapa Taliban look like your special forces 👇
 
Kenya have only 14 Referral Hospitals but Tanzania have more than 40.
Dialysis in fanywa mpaka na hospital za wilaya mdogo wangu. Kwa hapa TZ ni kitu cha kawaida sana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣

SERIKALI KULETA UNAFUU GHARAMA ZA USAFISHAJI FIGO​

Serkali kupitia Bohari kuu ya Dawa ilikuwa imekamilisha ununuzi wa mashine za dialysis 140 ambazo tayari zimesambazwa kwenye vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya nchini.

 
Your special forces helmets are what KDF uses for regular soldiers… you are really a third world army..🤣🤣
View attachment 2931454View attachment 2931455View attachment 2931456
Nenda kadanganye kibera tunajua hao ni special forces unit za Kenya ambao wengine walienda drc na wakatolewa balu na tsiekedi

your regural soldier look like this with their beloved G3 rifle and things like sufuria in the head👇👇🤣🤣🤣🤣👇👇acha ushamba helmet kama hizo bado zipo in service hata majishi makubwa kama India bado Wana vaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…