Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some randoms

1. Kijani Ridge - construction is booming but still a long way to go.















2. Unity Homes Silverhill Townhouse project has already broken ground - the townhouses cost from 35M





3. Unity West, nothing much, but there is a nice green park coming up next to it









4. Eneo - This place has become a beehive of activity lately especially due to CCI Global's more than 4000 employees
 
Ajabu ni kwamba wakenya wengi wanafurika Tanzania kutafuta matibabu hio ndio ajabu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu wataka kusema Britain ilitutawala kama Mandate ama??
Maana siye tumepata uhuru toka kwao.
 
Mkitukanwa mnasema watu sio wastaarabu.
Tanzania kuna DISTRICT REFERRAL HOSPITAL NA REGIONAL REFERRAL HOSPITAL.
HIYO TAARIFA ULIYOLETA INAONESHA JUMLA YA REGIONAL REFERRAL HOSPITAL.
HAIJALETA NA DISTRICT REFERRAL HOSPITAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ