Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achana nao hawa nyang’au. Hawana wanalojua. Watakusumbua bureπŸ™‚
 
Buda, this is you?
Vile uko na audacity ya kuongea
View attachment 2926635View attachment 2926636
Unajua maana ya kupungua, mgao ulikuwepo yes but kwa sasa umepungua kwa zaidi ya asilimia 80 na ni kwasababu mtambo mmoja wa kwenye dam ushaanza KAZI na mtambo wa pili mwezi ujao unawashwa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Kwa sasa mgao umepungua kwa over 80% na Tanzania ndio itakua kinara wakuuza umeme ukanda huu take it or not
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…