Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli these muffs are obsessed with Kenya......
Ati Burundi iko na only 0.98% unemployment rate. Hawa Warundi wenye wamejazana huku wakiuza chai mandazi, na kufanya kazi za uwatchman - alafu akifika mmoja anaita jamii nzima. Hiyo ndio nchi unaambiwa iko na lower employment rate kuliko hadi Switzerland. 🀣 🀣
 
Mashashola πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ aka mnuka mavi

 
Ina maana hujui Samia anaongoza nchi ngapi mkuu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Anakipiga home and away japo Mwinyi yupo vizuri ila usitegemee kama Samia hangekua alipo sasa Zanzibar ingekuwa hivi!
Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, lkn hana maamuzi yoyote Zanzibar.
Yey kama yeye hana uwezo wa kupindua maamuzi ya Mwinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…