Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unachanganya sana madesa.
Usichanganye topic kijana.
 
Pumbavu wewe counter my argument kisomi usitafute msaada.
 
Mwanafunzi wa primary school ama? Juu university hujakanyaga. Hata hujui university environment inafanana aje.
This is me when I was university student ๐Ÿ‘‡Kapripoint Mwanzawala sina haja ya kuficha sura mimi my brother ๐Ÿ‘‡ within Malimbe campus Rock Beach garden Mwanza ๐Ÿ‘‡halafu huyu ni wewe ๐Ÿ‘‡ mwenye hata kuvaa hujui yaaani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ heb jiangalie mshkaji wangu ๐Ÿ‘‡
 
Umeonyeshwa picha akiwa hostel wewe unapost picha ukiwa mitaani na swaga za kipuuzi unasema ulikuwa chuo kikuu. Tuonyeshe picha ukiwa chuo kikuu. ๐Ÿคฃ
 
Now I know why unakuanga bitter na Mimi. You smell poverty ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Umeonyeshwa picha akiwa hostel wewe unapost picha ukiwa mitaani na swaga za kipuuzi unasema ulikuwa chuo kikuu. Tuonyeshe picha ukiwa chuo kikuu. ๐Ÿคฃ
Jamaa ni mjinga. Imagine even after planning for the photoshoot jamaa bado anakaa chokoraa, kiatu ni kama zile zinauzwa river za 150, saa pia ni ya 150 kama sijakosea. Hizo ragged jeans hukuwa 100 bob hapa Kenya alafu hiyo chain ni 50 bob.

In short everything in his body is not worth 1000 Kenyan shillings ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Alafu he's a dwarf. Hawa watu wafupi huwa na machungu sana.
 
Wala usihangaike sana kuhusu viatu brand nilizovaa zinajulikana my brother, Air force ni 55k Tz money, Anta ni 50k, halafu kuhusu viatu wakati nasoma nilikua nikivaa brands tofauti hii hapa ilikua ni sehemu yangu ya kuekea viatu ๐Ÿ‘‡more than ten pairs of shoes. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wakati nikiwa shule nilikua naishi better than how you living right now
 
My trouser alone is worth more than everything in your body๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Tafauti Yako na chokoraa hakuna.
Hii suruali yako kwa hapa bongo labda ni 5k- 8k Tz money ๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, suruali nimevaa mimi kwenye picha niliyopost ni around 25k Tz money so ni sawa na hii suruali yako ziwe tano ndio ungeweza kununua suriali yangu moja we kima ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
hapa mkun
Hapa Mkundustan anaweza sema My shop ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tsh. 55k = KES 3,120
Original Airforce huanzia KES 15k = Tsh 264k
Meaning hizo zako za 55k ni fake.
Unaringia watu juu ya viatu bonoko? ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ