Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KES Gaining (from 529 tto the dinar last week)


TZS Losing
 
Kwa walivyo mnuka mavi, hapo unaambiwa ilipulizwa pesticide ili nzi wasionekane kwenye pic
 
Hujui unachozungumza wewe kaa kimya unajiabisha bure tuu hapa.
 
Thanks for accepting that your level is when I was in campus.


Wewe unaezashindana tu na my student self. Ebu tuonyeshe picha zako hukiwa student kama unajiamini.
Mimi nikiwa Mwanafunzi nilikua balaa na videm nilikua namega kichizi, 🤣🤣🤣. Wewe ni mshamba wa kupitiliza my brother. We tulia tu, wewe ni wa kukuonea huruma manzee
 
Huko kwenu inaelekea mnasoma historia ya Tanzania big up sana.
Tunasoma hadi historia ya Burundi. For Kinjeketile Ngwale, we studied him because in our history books he is considered the most stupid freedom the world have ever seen.
 
Kwa hii statement yako kaka itoshe kusema ni sababu kuu China kuwa na Purchasing power kubwa kuliko USA.
Maisha yamepanda sana, mfano kipindi Clinton anamaliza, gasoline ilikuwa $0.99 per gallon leo hii ni $3 mpaka $4 per gallon. Zamani ulikuwa ukienda kwenye cheap grocery store (supermarket) kama Aldi kununua chakula, $25 tuu unajaza cart, leo bila $350 hujazi.

Hivi karibuni Covid lockdowns zimeua sana small businesses, independent restaurants nyingi zimefunga na middleclass inazidi kupungua kwa kasi, tunakoenda kutakuwa na class mbili tuu, matajiri na masikini.
Unazungumziaje suala la nchi gharama za maisha kupanda??
Je hiyo huonesha kuzorota kwa uchumi au utajiri wa nchi??
Ni kweli hii huonesha kuzorota uchumi kwa nchi kama zetu ila US uchumi wake unabebwa na dunia, hii ni kutokana na USD kuwa the world currency. Hata hivyo hali inabadilika, nchi nyingi zinaitupa dollar na hii itafika mahali inflation itarudishwa US, na hapo ndipo kitanuka, hasa ukizingatia kuna bunduki zaidi ya milioni 250 majumbani mwa watu.
 
Hatutaki stori.
Mlisema Feb 16 mgao utaisha tarehe 17 mkatukalisha saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku bila umeme.
Jana tu umekatwa pia.
Sasa hivi mnakuja na ngonjera nyingine za JNHPP.
Acheni ngonjera na ahadi mfu.
Mliambiwa na nani?
 
Ebu elimisha huyu mjinga mwenzako.

Muongeze hii...............The richest countries in the world have the highest cost of living.


 
Hivi Kenya kuna hotel hata moja inajengwa kweli maana kwa miaka mitatu hotels nyingi zimekuwa zikijengwa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…