Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi zingine zote wachaneni na Nairobi kabisa. Tubishanie vitu zingine ila sio high-end neighborhoods.
Cheza na mtanzania. Mwenye anapinga Lupita Nyong'o sio mkenya unaexpect aeche kulinganisha high-end neighborhood za Nairobi with their shacks?

The same Tanzanians that will confidently say that Tanzania has more and better malls than Kenya?
 
Why are you posting shacks?
 
Unless siijiu hiyo Karen 😂😂😂 tope tupu within Karen, Karen ni sawa na mbezi tu, tena mbezi ni better kwasababu ipo pembezoni ya bahari.. huko maporini hakuna chochote cha maana cha kuvutia
Maybe unaongelea Karen binadamu kutoka Tanzania.
 
Hii hapa ni nonsense, hakuna mtaa wowote wenye ume mention hapo ambao ni competitive to Oster bay so chill. 😂😂😂😂
 
Ushatoka O-bay uko Zanzibar
Nikiuambia Kenya kuna Estates kali kushinda hii ushago utaona nakudanganya? 🤣
 
Maybe unaongelea Karen binadamu kutoka Tanzania.
Atakuletea ile picha ya Dagoretti yenye wamezoea kushare humu. Yani Karen, the biggest neighborhood in E.A lakini lazima mtu atafute pembeni nje ya mtaa wenyewe ndio apate barabara ya vumbi. Meanwhile Masaki yenye ni mare 14 ndogo kiliko karen you can randomly zoom into it na utapatana na barabara ya vumbi. 🤣 🤣
 
Hujielewi umeenda shule kusomea ujinga.
Ila nakusihi soma kwa uelewa.
Au huwenda hata biashara ya nyumba itakukanganya .
 
It's still Mbezi and it's not tarmacked. Hata ukileta hizo sehemu zingine ni vivyo hivyo tu. Ridgeways huwezi pata barabara ziko untarmarced. Mbezi labda ilinganishwe na Rongai, Ridgeways haina level yake hapo Bongo.
Ujinga kweli mzigo.
Embu ngoja nikuache.
 
Mko na Gold lakini Tanzania still present among the top 25 poorest countries in the world.

Hiyo Gold plus other natural resources inawasaidia na nini?
Ila
-Hatufi njaa.
-Hatuandamani kisa bei ya unga wa ugali .
-Hatuandamani kisa maisha kupanda bei.
-Bei ya petroli haitushindi.
-Hatuishiwi na dawa hospitalini.
-Hatuishiwi na akiba ya kigeni.
Ukiweka vice versa hiyo ndio Kenya ilivyo .
Poorer man in Tz lives better than a standard man in Kunyaland.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…