Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kama haelewi the meaning of location and status. Give him an example kutumia mineral water ama soda.

Kwa kibanda chupa ndogo ya maji 20 bob
Kwa club the same water will cost around 70 bob
In a 2* hotel hiyo maji will cost around 100 bob
In 4* and some 5* hotels that water will cost around 200 bob.

Mulize pia kama bei za nyumba ni same Tandale na Masaki.
 
Unapost upuzi kama huu na bado mang'ombe zinalike? Enhyewe nakubaliana na Teargas, all Tanzanians are stupid. 😂 😂
This is what a high end mansion looks like in Kenya.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FfCtrChhQ58
And here is what a typical average Tanzanian townhouse looks like.
 
There's something called location and status. Price of a house in Tandale and Masaki can't be the same hata kama nyumba ni exactly the same.

Do you know that ukihamisha nyumba ya makuti from Tandale to Masaki price yake itapanda almost 4 times?
Hayo sijapinga.
Embu rejelea hata post yangu ambayo nilikua naelezea kuhusu purchasing power.
Nilitoa mfano wa bungalow za kawaida sikusema exactly hiyo ndio bei yake.
Na nikasema kwa thamani na ubora ule ule wa Kenya Tz unaweza jenga nyumba nyingi zaidi.
Ila nahisi jamaa yako ANA TAKATAKA KICHWANI.
Pia sikupinga ndio maana nikasema kuwa Tanzania pia nyumba huangaliwa location kama Kenya.
Despite location bado Tanzania hatuwezi kuwa na nyumba bei kubwa kama Kenya .
Hiyo bungalow ya 100m Ksh Tz unaweza KUNUNUA BEI YA ROBO YAKE IKIWA NA EXACT LOCATION AND EXACT STANDARD.
Na kuhusu masaki hapo kitaangaliwa kiwanja.
Itayopandisha thamani hiyo makuti ya Tandale kiwanja sio ubora wa nyumba,ila ukijenga nyumba kwa ubora na kiwanja kipo mjini basi utapigiwa GHARAMA YA UBORA WA NYUMBA NA KIWANJA.
 
Which exact location? There is no location in Tanzania that can match Ridgeways, Muthaiga or Karen.
 
Embu soma vizuri mfano wangu kesha tafadhali sema ww nani haelewi kati yangu na mwenzio???
Hii comment yangu inaeleza yote bei,location mpaka aina ya nyumba.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-19-08-42-50-38_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    391.4 KB · Views: 15
Umeanza kutafuta pa kutokea. Hayo ya location umeyasema after nimekupa kisomo. Mwanzo ulisema 3BR house in Kenya costs 10M. Kubali ujinga wako uelimike. 😂 😂
 
Which exact location? There is no location in Tanzania that can match Ridgeways, Muthaiga or Karen.
For your stupid perspective that is what you say!
Masaki,Mikocheni,Kijichi,Mbagala kuu,Mbezi beach,Ununio,Bunju,Ilala,Sinza and Kigamboni.
What standard do you want us to compare between these and yours there in Kenya????
 
Umeanza kutafuta pa kutokea. Hayo ya location umeyasema after nimekupa kisomo. Mwanzo ulisema 3BR house in Kenya costs 10M. Kubali ujinga wako uelimike. 😂 😂
Shida yako unakurupuka sana.
Husomi ukaelewa.
Na pia sidhani kama unajua meaning of example and actual.
 
For your stupid perspective that is what you say!
Masaki,Mikocheni,Kijichi,Mbagala kuu,Mbezi beach,Ununio,Bunju,Ilala,Sinza and Kigamboni.
What standard do you want us to compare between this and yours there in Kenya????
So in your stupid mind you think you can compare Masaki to Muthaiga or Kigamboni to Ridgeways or Mbezi to Muthaiga? Unaitaji daktari wewe.
 
Shida yako unakurupuka sana.
Husomi ukaelewa.
Na pia sidhani kama unajua meaning of example and actual.
There is a smart example and a stupid example. You can tell how smart someone is by the examples they give.
First of all, you compared buying in Kenya to building in Tanzania. Building is much cheaper than buying and doesn't include land rate or location. On that alone, it's clear you lack knowledge. Secondly you can't use 3BR as complete description of a house when 3BR can constitute two houses with one house being 50 times more expensive than the other. Kubali huelewi nachosema.
 
Sasa hiyo nyumba niliosema typical average home in Tanzania ina tofauti gani na hizi za huku vijijini Tanzania zilizopo pembezoni mwa hiyo shule?

Kunyaland nyumba za aina hii zipo naislum na zenyewe ni za kubahatisha



Wengi wenu mnaishi humu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…