The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Palipo na ukweli uongo hujitenga, Nyerere lazima apate anachostahili, ana makosa yake ya kibinadamu lkn mazuri aliyoyafanya ni mengi kuliko watakatifu wengi tu waliopita duniani, ni kama Magufuli, muda wake pia wa kuheshimika utafika na atapata stahiki yake.Mandela anapewa heshima ambayo haimstahili kabisa ila ni wazungu ndio wanamhype sababu aliwafavor sana, Nyerere alitakiwa kuwa famous zaidi ya Mandela at least saivi ndio wanajua though wamechelewa na wanaenda taratibu
View: https://twitter.com/GovernmentZA/status/1759196730120118311?t=7OgylvyVr8M--oUTDjCpjA&s=19
Kuna jamaa alikuwa Mbunge huko kenya anaitwa Samuel Arama aka Mzungu wa NakuruMimi nikiwa porini alafu akatokea simba na mkenya naanza kuuwa mkenya alafu simba tutajuana baadae.
Mbona Nigeria wapo wengi na ppp yao ni the lowest in the world.Kama nchi ina watu wengi PPP yao inakua kubwa, ndio maana china inaizidi US in terms of PPP, ila sio index nzuri. Mi nadhani index nzuri ni quality of life kama nchi za brunei, qatar
Sura mbaya kama mnuka mavi TeargasKuna jamaa alikuwa Mbunge huko kenya anaitwa Samuel Arama aka Mzungu wa Nakuru
View attachment 2907999
Huyo hajui uchumi achana nayeMbona Nigeria wapo wengi na ppp yao ni the lowest in the world.
Great TV with 11 likes and 67 viewers?πππ€£π€£
Sasa mzee ukiwa na population kubwa utakua tu cheap productio kwa sababu ya cheep labour, watu wataweza nunua products cha hela kidogoNimekuuliza maana yake siyo kirefu chake. Unajua maana ya PPP?
Tunazidi kupata proof kuwa wakenya hawana akili. Azam Channels zinakuwa watched kupitia TV na wakenya wananunua decoder. Hii youtube ni highlight tu. Au hujui hilo?Great TV with 11 likes and 67 viewers?πππ€£π€£
Nimekuuliza unajua maana ya PPP? leta maana yake hapo kwa maelezo ya kiuchumi. Na utueleze PPP inapatikanaje.Sasa mzee ukiwa na population kubwa utakua tu cheap productio kwa sababu ya cheep labour, watu wataweza nunua products cha hela kidogo
Watanzania wote ni wajinga.Azam Channels zinakuwa watched kupitia TV
Siku Azam itafikia Zuku kuja tuongee.Tunazidi kupata proof kuwa wakenya hawana akili. Azam Channels zinakuwa watched kupitia TV na wakenya wananunua decoder. Hii youtube ni highlight tu. Au hujui hilo?
TANZANIA inazidi kuiweka mfukoni KENYA.
Watching TV through decoder is a business. Au hujui? π€£ π€£ π€£ π€£Watanzania wote ni wajinga.
Kwani ulitaka watumie radio to watch hizo channels?
I scored A in Business and you can't tell me anything kuhusu Business courses.Watching TV through decoder is a business. Au hujui? π€£ π€£ π€£ π€£
Rudi shule ukasome Business Administration courses.
Au endelea kutibu wagonjwa walikula Mutura hapo Nairobi
Wewe kweli ni mnuka mavi jamaa angu πππ hiyo sentence yako hapo niliyoikoleza/koza Maana yajke ndio "kungoja".Kwa akili zako mbovu unadhani tunangoja mtu? Hao watakuja pekee yao. In Kenya we do things with plans,
we started with horizontal infrastructure and as you can see the horizontal infrastructure is way better than anything in Tanzania. Infact Dunia itaisha before anywhere in Tanzania ikuwe na the half the quality level of horizontal infrastructure in Konza.
Since now horizontal infrastructure is over, we will be doing vertical infrastructure, I promise you this time round mtachimba Magufuli from his grave to witness great things happening in Konza.
Siku zuku wakiweza kuwa na Camera kama hizi za Sport nitakutongoza π€£π€£π€£π€£Siku Azam itafikia Zuku kuja tuongee.
Sijui boss ila PPP kubwa ina risk kukupa bubble economyNimekuuliza unajua maana ya PPP? leta maana yake hapo kwa maelezo ya kiuchumi. Na utueleze PPP inapatikanaje.
I know I'm dealing with an idiot. Ushaiskia that phrase which usually says "Built and they will come"?Wewe kweli ni mnuka mavi jamaa angu πππ hiyo sentence yako hapo niliyoikoleza/koza Maana yajke ndio "kungoja".