Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameshaanza na huwa wakijua kitu kinatoka Tanzania wanakivamia kama viwavi, ni kama chapati zilivyopata umaarufu Kunyaland recently utafikiri ni kitu kipya πŸ˜…πŸ˜… ila exposure kitu cha maana kweli
Kuna kunyan ni rafiki yangu,alikuja TZ kutembea na mkewe basi akakaa kwangu kama siku 4,kuna siku Mke Wangu akapika chapati na makange kwa ajili ya dinner,wale kunyan wanausifia ule msosi hadi leo uwa ananiambia akija tena africa atakuja TZ ale misosi ya ki TZ
 
Pure health sells organic foods. waaaaa enyewe ushamba ni mbaya. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yani huwezi notice bei ya hio unga ni way expensive than other brands with similar price margins.
Tanzania tumekuwa na vyakula organic, japokuwa kuna nguvu sasa ya kusambaza mbegu za GMO.
The most popular street food in Nairobi is smocha.
Hii ni burrito, chakula cha mexicano, mmeiba chakula cha watu kama kawaida "yenyu".πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…