Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wheat Flour Cost 1Kg
1 Ksh = 0.0071 USD
1 Tsh = 0.00039 Usd

1kg in Kenya is 130Ksh = 0.923Usd
1kg in Tanzania is 1500Tsh = 0.585 USD

Tanzania watu wanakula chapati kwa bei ndogo sana ukilinganisha na hapo kenya.

Let go beyond of that. Let consider 1tone of Wheat flour.

in Kenya will be 0.923 x 1,000 = 923 usd
in Tanzania will be 0.585 x 1,000 = 585 usd.

Ukiwa na $923 hapa Tanzania unanunua 1 tone of Wheat flour na unapata change ya $338

Bado huelewi?
 
Shida ni elimu yao mkuu.
 
Haya kapike najua unatumia mshumaa kwa kuwa umeme umekatwa 😂. Ukimaliza uangalie hii picha kisha ujiambie kimoyomoyo "Kenyan shilling has a higher Purchasing Power than the Tanzanian shilling"

View attachment 2907283
Unasemaje una higher purchasing power ilhali kwenu kuna higher inflation rate na hata hela ya unga inawashinda kumudu???
Purchasing power ni uwezo wa pesa yako kununua kwa ujazo kijana.
Kenya ushuru wenu ama kodi zenu zinafanana na sisi???
Mie hapa bongo naweza kujenga nyumba ya ghorofa mbili kwa 100k$ dollars na chenji ikambaki ambayo sawa na 240 millions Tsh.
Je kwa hiyo 100k$ dollar unao uwezo wa kujenga ghorofa 2 bungalow kama Tz kwa ubora ule ule????
Embu nijibu hapo kwanza.
 
Why are you arbitrarily choosing amount of money for the two currencies instead of the price of a product? Hiyo ni economics ya wapi Mukuru kwa Njenga ama?. Kila data lazima iwe na reference.
 
Haya kapike najua unatumia mshumaa kwa kuwa umeme umekatwa 😂. Ukimaliza uangalie hii picha kisha ujiambie kimoyomoyo "Kenyan shilling has a higher Purchasing Power than the Tanzanian shilling"

View attachment 2907283
A 3 bedroom bungalow in Kenya is sold by 10 mils Ksh sawa na 170milions Tsh sawa na 70k $.
Tanzania 3 bedroom bungalow inauzwa kwa 50milions Tsh sawa na 23K $ sawa na 3 milion Ksh kama sijakosea.
Yani kwa pesa ya kununua bungalow ya vyumba vitatu Kenya najenga nyumba sawa na hizo bungalow kama tatu hapa Tanzania kwa ubora ule ule.
Hapo unazungumziaje???.
Wapi purchasing power yake ina nguvu katika manunuzi na inanunua zaidi??
 
Hicho nilijaribu kukieleza ila doh hawakuelewa na mifano ya mpaka unga wa ngano na sembe nilitoa.
Shida hako kajamaa sijui kastudent cha elementary school!
Kana mihemko na kanajibu kwa pupa pasi na kusoma hata anachokileta .
 
Kiongozi huu mjadala tuuache maana sio kama hawajui ila hawa ni die hard patriots for their country.
 
Hicho nilijaribu kukieleza ila doh hawakuelewa na mifano ya mpaka unga wa ngano na sembe nilitoa.
Shida hako kajamaa sijui kastudent cha elementary school!
Kana mihemko na kanajibu kwa pupa pasi na kusoma hata anachokileta .
Condom tu mzee unakamuliwa 🤣 🤣 🤣 Ngoja tuangalie bei za Guest za kawaida huko Nairobi ni how much
 
Na Chapati ni Luxury
 
Kenya

Wana Purchasing power ndogo sana

Nilijifunza hapa kwenye Chapati... yaani chapati na nyama ya 100 bob binadamu hawezi kula ila wanakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…