Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmenivizia nimetoka ndio mmekuja, 🤣🤣🤣🤣 sasa kati ya Konza gated community na avic town (zote zilianza pamoja) which project looks empty.? 🤣🤣🤣 We fala unajielewa kweli.? As of now mji wa avic town umeshamaliza ujenzi and watu wanaishi, while konza ndio mnangoja foreigners waje wawajengee 🤣🤣🤣
pity these poor tanganyikans
Wewe kima ulikua unasema nini.?
 
Kenya ni taifa la wapumbavu sana 🤣🤣 imagine serikali imetenga viwanja Halafu eti wanasubiri foreigners waje wawajengee majumba ya wao kupiga picha 🤣🤣. Miji yote mipya duniani iliyojengwa karne hii ya 21 ni government owned projects (miji yote dunia nzima) while project zote za miji zenye zinategemea foreigners waje wawakeze zimefeli, chukua hiyo tatu city, konza, Eko Atlantic lagos n.k, miji yote hii ni failed. 🤣🤣🤣🤣 Endeleeni kuota kwamba wazungu watakuja wawajengee miji yenu without your government involvement. Taifa la Kenya lina viongozi vilaza sana
 
Haya kapike najua unatumia mshumaa kwa kuwa umeme umekatwa 😂. Ukimaliza uangalie hii picha kisha ujiambie kimoyomoyo "Kenyan shilling has a higher Purchasing Power than the Tanzanian shilling"

View attachment 2907283
Wewe kuelewa hadi urudi shule, sizani kama unaelewa vizuri hiki ulicho google na kupost hapa
 
Let start calculate PPP product after product. We put USD as a common currency.
1 Ksh = 0.0071 USD
1 Tsh = 0.00039

Start with Corn Flour
Price in Tanzania is Tsh 1,200/Kg = 0.468 Usd/kg
Price in Kenya Ksh 115/Kg = 0.8165USD/Kg

Tell me now.
0.8165USD can buy almost 2kg of flour in Tanzania but if you have
0.468usd you can't afford to buy 1kg of flour in Kenya.

This is how PPP calculated.

So mwananchi wa kenya itamlazimu apambane sana kupa just 1kg of unga. But here in Tanzania Ùnga wa ugali is nut luxury. But in Kenya is a luxury.
 
Asipoelewa hapo tena nitaamini kuwa elimu yao ndio kama inavyosemwa huko ulimwenguni ikiwamo na Nigeria
 
First off, do you know the meaning of luxury?
Secondly, do you know the staple food in Kenya?
Thirdly how do the two come in the same sentence
 
Hawa mashakahola sijui kama wanaelewa mambo ya uchumi, na ukizingatia walivyo mezeshwa ujinga kuwa wanatuzidi kila kitu tofauti na reality
 
Hawa mashakahola sijui kama wanaelewa mambo ya uchumi, na ukizingatia walivyo mezeshwa ujinga kuwa wanatuzidi kila kitu tofauti na reality
The fact that you manage to all think alike baffles me. Tanzanians be reasoning like flat earthers fr fam
 
The fact that you manage to all think the same baffles me. Tanzanians be reasoning like flat earthers fr fam
do these tanganyikans ever attend school....their backstreet reasoning reeks of ignorance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…