Between you and world Bank who knows better?Chukua hiyo 200ksh ufanyie matumizi huko kenya,baada ya hapo uje Tz ukifika change hiyo 200ksh into Tz sh, hela utakayopata tumia hiyo hiyo kufanyia matumizi yale yale uliyofanya ukiwa huko Kenya na 200ksh
Mfano wa ulichosema huo hapo kaka .Chukua hiyo 200ksh ufanyie matumizi huko kenya,baada ya hapo uje Tz ukifika change hiyo 200ksh into Tz sh, hela utakayopata tumia hiyo hiyo kufanyia matumizi yale yale uliyofanya ukiwa huko Kenya na 200ksh
2022?????Now, this graph also shows GDP by capita PPP. So are we in agreement that the Kenyan shilling has a higher Purchasing Power than the Tanzanian shilling?
View attachment 2907266
Sawa msomi. Kwa hiyo source China is ahead of the US in GDP by Purchasing Power Parity. You claim the Yuan has a higher Purchasing Power than the Dollar (I'm still not quite conveinced, I will first have to confirm if that's true)Hivi umesoma hizo criteria vizuri??
Soma hizo key terms uelewe na hiyo imetoka kwa source uloleta mwenyewe.
Isome kwa umakini no.3 na no.4.
Usome kwa uelewa sio kwa kukurupuka.
That's 2022.Sawa msomi. Kwa hiyo source China is ahead of the US in GDP by Purchasing Power Parity. You claim the Yuan has a higher Purchasing Power than the Dollar (I'm still not quite conveinced, I will first have to confirm if that's true)
This graph here shows GDP per capita by PPP of Kenya and Tanzania. So, we can now conclude that the Kenyan shilling has a stronger Purchasing Power than Tanzanian shilling, right?
View attachment 2907271
Bia za promotion ya valentine day surely? Tena imported horse urine in cansWhich beer are you talking about?
View attachment 2907231
Nimekueleza soma hizo key terms ya 3 na 4.Tanzania 2023/2024 - source
View attachment 2907273
Kenya 2023/2024 - source
View attachment 2907274
Na wewe unapinga kwamba Kenyan Shilling has a stronger Purchasing Power than Tanzanian shilling yet you are using the same criteria of GDP by PPP to say that Yuan has a higher Purchasing Power than the Dollar. ππππThat's 2022.
About China nilikuletea screen shot toka kwa source yako mwenyewe na sidhani kama umeisoma ile source.
Ile source ina majibu ya yote unaoyapinga .
Cent 5 Kunyaland inanunua nini?Tsh 10 inaezanunua nini?
Soma hizo criteria vizuri.Na wewe unapinga kwamba Kenyan Shilling has a stronger Purchasing Power than Tanzanian shilling yet you are using the same criteria of GDP by PPP to say that Yuan has a higher Purchasing Power than the Dollar. ππππ
Kwa hiyo ksh 200 na sawa na stalin pound 200?So Tsh 200 can buy more items of the same value compared to Ksh 200?
Next joke please.
Ushaishiwa ww kitulize nimtie adabu huyu mwenzako maana wewe hakuna ulichoweza kujibu.
πππππ. What do you have to say about this? Kenya's GDP by PPP is more than $100B that of Tanzania (2023). Therefore, the Kenyan shilling has a stronger Purchasing Power than the Tanzanian shilling. (I am just using your argument of saying Yuan has a higher Purchasing Power than the dollar, since China has a higher GDP by PPP)Nimekueleza soma hizo key terms ya 3 na 4.
Halafu utaelewa kwanini napinga Kenya kuwa na Purchasing power kubwa kuliko Tanzania.
Ungekua Kenya una purchasing power kubwa usingelalamika HIGHER INFLATION RATE NA KULALAMIKA UNGA WA UGALI UMEWASHINDA BEI.
Hujasoma .πππππ. What do you have to say about this? Kenya's GDP by PPP is more than $100B that of Tanzania (2023). Therefore, the Kenyan shilling has a stronger Purchasing Power than the Tanzanian shilling. (I am just using your argument of saying Yuan has a higher Purchasing Power than the dollar, since China has a higher GDP by PPP)
View attachment 2907281
View attachment 2907282
Haya kapike najua unatumia mshumaa kwa kuwa umeme umekatwa π. Ukimaliza uangalie hii picha kisha ujiambie kimoyomoyo "Kenyan shilling has a higher Purchasing Power than the Tanzanian shilling"Soma hizo criteria vizuri.
Ukishasoma kwa umakini kesha ndio tujadiliane.
Kwa hizo criteria China ime fit kote ila KENYA KUNA CRITERIA MBILI ZINAWAKATAA.
EMBU SOMA VIZURI
Baadae kijana wacha tukapike na wake zetu kwanza.
Nikirudi uwe ushasoma.
Unastuka ati 2022. That is just one year and a few months ago. So you want to say that in a span of one year, Tanzania has now overtaken Kenya? πππ2022?????
kama mama ngina kwanza wana maombi wamfunze first lady wenu kuvaa yaani kama yupo sokoni anauza nyanya.