Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi nikuulize ujenzi wa skyscraper unachukua miaka mingapi? the tallest building in the world in Dubai was built in 3 years...
Ukiweka miaka mitatu ni sawa ambapo itaisha 2020 kama kila kitu kitaua costant
 
jifurahisheni na ngoma mpya Sauti Sol...Kiingereza ikiwashinda njooni niwafanyie tafsiriπŸ˜€πŸ˜€
Kawimbo kamoja tu mnapiga kelele. Hapa TZ nyimbo mpya zipo zaidi ya 100
Anzia hapa:

Kawimbo kamoja tu mnapiga kelele. Hapa TZ nyimbo mpya zipo zaidi ya 100
Anzia hapa:

nilikwambia nyimbo za kijinga huwa siskizi...leta za yule dada wenu anayejua kuimba kwa kiingereza...hio mambo ya sijui kaka blaza nakupenda sijui mwambie aje... huwa siskii
 
hivi nikuulize ujenzi wa skyscraper unachukua miaka mingapi? the tallest building in the world in Dubai was built in 3 years...britam Tower is Africa's second tallest and it was buoit in 3 years
Eti britam tower is Africas second tallest sijui hadi ule mnara nao ni floor
 
bila shaka nitakuarifu ndugu yangu...mimi nashangaa sana mlivyogeuka kama kinyonga...one week ago mlikuwa mkisema Pinnacle ni white elephant...leo mnaongelea 5th floor...
Kwa sasa endelea kutuonesha render ya pinnacle plz broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nilikwambia nyimbo za kijinga huwa siskizi...leta za yule dada wenu anayejua kuimba kwa kiingereza...hio mambo ya sijui kaka blaza nakupenda sijui mwambie aje... huwa siskii
povu kubwa sana.
 
hivi nikuulize ujenzi wa skyscraper unachukua miaka mingapi? the tallest building in the world in Dubai was built in 3 years...britam Tower is Africa's second tallest and it was buoit in 3 years
Tatizo sio kujenga tatizo pesa za kujengea zikwapiπŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€ dubai is not kenya, tajiri mmoja wa dubai anaeza walisha kenya nzima miaka 10 mfululizo bila kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…