Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,210
- 35,593
Behind Mombasa.ππ good progress.
Miaka ya nyuma ulikuwa huwezi Iona Tanzania (Dar) kwenye list.Kwa Sasa tumo ππ
View: https://www.instagram.com/p/C3Zk_QroZxM/?igsh=cHQ0cHBteWM5dGUz
Tufanye Kambi ya wavuvi ya Mombasa ni Bora kushinda Dar, Casablanca,Abuja na Johannesburg ππBehind Mombasa.
You posted the list yourself sasa mbona unataka kulia? π πTufanye Kambi ya wavuvi Cha Mombasa ni Bora kushinda Dar, Casablanca,Abuja na Johannesburg ππ
Jambo zuri sana kuliko wanavyokaza shingo kutangaza utalii wa znz na kuacha kutangaza hata serengetiMeli 5 zimemimika na kumwaga maelfu ya Watalii π₯π₯
View: https://www.instagram.com/p/C3YdIgBLSda/?igsh=MTJqdWp3MXdzaXRxZg==
My Take
Wakunya mtatukoma mwaka huu π€£π€£
View: https://www.instagram.com/p/C3ZrYo1o6EO/?igsh=MWpxZHF0c2FueWVwaw==
Tanzania tuna fukwe kubwa mno kuanzia Mtwara Hadi Tanga to Zanzibar Islands.Jambo zuri sana kuliko wanavyokaza shingo kutangaza utalii wa znz na kuacha kutangaza hata serengeti
Kweli hatuwarishi πbali tunawalisha na tutaendelea kuwalisha kwa muda mrefu tuu.Mtu asiwai niambia 'tunawarisha' tena humu.π€£π€£
Temporary respite due IMF and WB handouts plus recently issued bond of 1.5bn.
Nini 'huerewi' wewe 'bongorara'. ππKweli hatuwarishi πbali tunawalisha na tutaendelea kuwalisha kwa muda mrefu tuu.
La Jomo Kenyatta litajengwa wapi? π€£ π€£ π€£Tunasubiria ahadi ya Sanamu ya Nyang'au Kenyatta kujengwa πππ
View: https://www.instagram.com/p/C3Z0tYwq2TR/?igsh=MXM0d2JnbHUzbDRy
π€£π€£π€£π€£πππNini 'huerewi' wewe 'bongorara'. ππ