Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahahaha mlilia lia kuwa hakuna ujenzi utakaofanywa...hivi leo mmegeuka kama chameleon mnaongelea first floor...asante kwa povu ndugu
Nna plot yngu Moshi naweza piga mkwara nikapeleka tofali 1k pale alafu nikapotea mwaka mzima ,Ila waliobaki watasema jamaa ataanza ujenzi mapema anaonekana kajipanga
 
mlivyokuwa mnapiga kelele tulidhani mpo flo ya nne..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
pole kwa povu... mlikuwa mkipinga eti tunachimba mafuta Nairobi...sasa hivi mtetemeko umeanza...wivu mbaya ndugu
 
ujnzi ndio unaanza rasmi....walikuwa bado wanachimba foundation poleni sana mabro
Ukianza ujenzi tafadhali ututaarifu siyo kutuletea mitungi hiyo. Hapa Dar kila sehemu ipo hiyo mitungi. Mkifikisha 5f sisi tunaanza kujengo la 100f
 
Nna plot yngu Moshi naweza piga mkwara nikapeleka tofali 1k pale alafu nikapotea mwaka mzima ,Ila waliobaki watasema jamaa ataanza ujenzi mapema anaonekana kajipanga
unafananisha kampuni ya Hilton inayofanya ujenzi na wewe binafsi? punguza ujinga bro
 
Ukianza ujenzi tafadhali ututaarifu siyo kutuletea mitungi hiyo. Hapa Dar kila sehemu ipo hiyo mitungi. Mkifikisha 5f sisi tunaanza kujengo la 100f
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ukianza ujenzi tafadhali ututaarifu siyo kutuletea mitungi hiyo. Hapa Dar kila sehemu ipo hiyo mitungi. Mkifikisha 5f sisi tunaanza kujengo la 100f
bila shaka nitakuarifu ndugu yangu...mimi nashangaa sana mlivyogeuka kama kinyonga...one week ago mlikuwa mkisema Pinnacle ni white elephant...leo mnaongelea 5th floor...
 
Ichoboy yupo wapi...natamani sana kumsikia kadoda... una lipi la kusema kuhusu hii white elephant?
 
Nna plot yngu Moshi naweza piga mkwara nikapeleka tofali 1k pale alafu nikapotea mwaka mzima ,Ila waliobaki watasema jamaa ataanza ujenzi mapema anaonekana kajipanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
it is now a reality....wenye wivu wajinyonge...one week ago walikuwa wakisema Pinnacle ni white elephant...leo wanaongelea 5th floor...hizi hapa rendersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…