Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema wakundustan ulaya yao ni Tanzania 😂😂😂 mpo obsessed na Tanzania kuliko hata watanzania 😂😂😂

View attachment 2903470
Wangese wanatamani waamke asubuhi wakute nchi lao chafu kundustan iwe imebarikiwa kama TZ,imagine ninapoishi sio mbali kasehemu kakustarehe kama hapo kisarawe park,nikienda hapo na familia kutwa nzima usd 25 inanitosha kwa kukodi tent la watu 6,navua samaki jiko la kuchomea nyama na samaki napewa hapo hapo park,kisarawe tu
 
Mkuu nielekeze iko wapi hii siku niende na mie nikapumzike??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…