El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
I tell you these guys.. .hahaha.Homabay hata top 50 haikohalafu wewe kwa akili zako umeamini kilichoandika hapo? tangu lini Homa bay ukawa kwa list hata ya top ten of Kenya's big towns? aliyeandika hiyo labda alikuwa kashalewa kwa supi ya albino
kwa kupiga picha vichakani.....hahaha.mna kichaa nyinyiUtafanya watu wakimbie humu. Hahaha unaua ile mbaya.
Pwahahahaa naona kilio kimeanza...juzi tu mlikuwa mnapinga sana...sasa ni povu tu mnatapika...pole sana nduguKwikwikwikwi.
Ulipitwa na hili siyo?mimi kwa battle napenda kuomba estates.....hata hiyo mwanza ya tz haiwezi karibia kisumu.I have been to mwanza by the way
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]thanks for reposting
Pwahahaha mlilia lia kuwa hakuna ujenzi utakaofanywa...hivi leo mmegeuka kama chameleon mnaongelea first floor...asante kwa povu nduguTusubiri hadi tuone mmeinua ground floor to 1st flr. ...mkishafika hapo tag me plzz, for now embu acha usumbufu ndg! !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi tunavijaka nyie mpo na slums kwikwikwikwi...
ujenzi ndio unaanza rasmi....walikuwa bado wanachimba foundationkumbe ilikuwa bado haijaanza....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asante...afadhali wewe mstaarabu..wengine hapa ni wivu tu...tupatane 2019 basi...kumbuka Avic inaisha 2018Hongereni
Ila najua tutakuja tu na kitu
Kama MNF ilikuwa iwe 20flr baadae ikapangwa 30flr
Ila sahv ni 32flr usishangae kakakuona ikawa 55flr na mnara wa 100m [emoji23][emoji23][emoji23]