Shukraan kakangu!Inaweza kuwa viazi vya ku kaanga kwa ulaya vilipendwa ufaransa lakini siyo kweli watu wa mabara mengine hawakuwa wanakaanga viazi. French kiss, fries na braids siyo kwamba vilianzia Ufaransa, hata watanzania tuna tatu kichwa lakini hazijulikani kama Tanzania braids.
You are just a lazy, confused idiot. Yani mkenya anakuja Tanga and within no time ashagundua gap ya uandishi and he is now making a kill out of it.umechagua hicho kipande weka ujumbe mzima we mwehu nliongelea swala la kulima na nikakujuza akifanyacho pia sasa uandishi wake na kulima vimeingianaje.
Who watches Azam in Kenya?
wachagga wanaskuma mkokoteni hapo Gikomba market na mnatupigia kelele I am sure if we round up tanganyikans sneaking into Kenya we can be surprised how many they are over here.One might fear venturing to new places because of ignorance ,poverty to afford travel or lack of communication like most tanganyikans barely speak English.....in short they are condemned to the biting poverty in tanganyikaThis confirms you are working in a pharmaceutical industry, kuna mtu alisema humu and that was just right , and I know for sure you are not a pharmacist , who are you then . guess you are dispensing medicines in a random chemist store in nairobi. Heshimu watu humu. Lazima mpelekwe saudia kupiga ubeki tatu 😀😀😀
Chakula gani unaongelea? Mihogo na Kisumu boys?njoo huku uajiriwe na ule chakula unenepe huo mtura usifikiri ni nyie mnatafutiwa nafasi za kuwa manamba ugenini kama mnajiweza serekali itengeneze mazingira wezeshi ya kuwatengenezea ajira hapo nyumbani.
Shida mmemkabidhi nchi kiongozi wa karismatiki mfanye maombi tuu hamna namna.
Mbona wewe usiulize wale jamaa wako wenye wamejaza Nairobi streets begging for money? Ama wewe ni mmoja wa hao omba omba?😂😂😂Muulize baba ako ruto anaepita kuomba omba,ameomba msaada hadi jamaica!
Tanzania ni kama maji, usipoyanywa, utayaogaWho watches Azam in Kenya?
kile mnakiona kwenye vyombo vya habari au wanakula viongozi wenu amaa mwaviona anasa huko.Chakula gani unaongelea? Mihogo na Kisumu boys?
Nafahamu , "the ultimate driving machine" iko aligned vizuri ila bado tunakuhitaji kaka (Mikono kwenye usukani). Msalimie shemeji yetu.Hii barabara itapendeza sana wakirefusha hadi Dodoma- Mwanza huko, Raha sana kuendesha humu.
View attachment 2903191
View attachment 2903193
View attachment 2903197
Wide angle 🤪
kwa hio nyie mnavyoenda kuwa manamba mmegundua kule kuna gape ya nini vile we mpumbavu.You are just a lazy, confused idiot. Yani mkenya anakuja Tanga and within no time ashagundua gap ya uandishi and he is now making a kill out of it.
Viongozi wetu are not eating mihogo kila siku.kile mnakiona kwenye vyombo vya habari au wanakula viongozi wenu amaa mwaviona anasa huko.
waseme suu tuchomoe waya wafe
unaona ulivyo mweupe wapi nlikutajia chakula cha mihogo? unasiki mwangwi toka kwenye nyumba ya bati kibera uliyomo si ndio.Viongozi wetu are not eating mihogo kila siku.
Add three towers which are under construction near GTC(all over 25 flr),,soon the skyline will be more massive
tunawafanyia kitu Russia aliwafanyia europe bila kushituka badae wamekuja jifaragua wakajipiga dole wenyewe soon watajaa.
Najua tu hizi ni akili za Mama Ngina 🤣 🤣 🤣Kenyans venture worldwide....tumejaa Europe....North America....Gulf...Australia....Japan....name it......hapa Africa ni road trips ndio tunapiga maybe to south Africa because sioni country imedevelop kushinda Kenya huku sub saharan Africa apart from SA
Hakuna Nchi inaiogopa Tanzania kama Kenya 🤣🤣🤣🤣tunawafanyia kitu Russia aliwafanyia europe bila kushituka badae wamekuja jifaragua wakajipiga dole wenyewe soon watajaa.
Umesema Tanzanians can’t travel sababu they can’t communicate in English, How comes Tz is the most visited country in East Africa ? Wazunguz are flocking to TZ and not to English speakers ?wachagga wanaskuma mkokoteni hapo Gikomba market na mnatupigia kelele I am sure if we round up tanganyikans sneaking into Kenya we can be surprised how many they are over here.One might fear venturing to new places because of ignorance ,poverty to afford travel or lack of communication like most tanganyikans barely speak English.....in short they are condemned to the biting poverty in tanganyika
Unajua maana ya innovation??Samsung and Oppo are not innovations, those are just brands. Or in short they are generics 🤣🤣😂.
Kwani watanzania wote ni wajinga kwenye hii thread?😂😂😅