ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,310
- 89,717
Umechelewa sana.Ndio maana unapewaga za uso jukwaa la siasa inakimbia kuja kujifariji huku 🤣🤣Napewa za uso na nani? Fuatilia Comments zangu na utanijua mimi ni nani? Usikurupuke. Nitakushughulikia dawa yako inachemka.
Wait and see. Ukiendelea kutukana viongozi wa nchi tunakufuata physicallyUmechelewa sana.Ndio maana unapewaga za uso jukwaa la siasa inakimbia kuja kujifariji huku 🤣🤣
Achana na Mimi fanya Yako hunilishi na hinitishi.Wait and see. Ukiendelea kuleta kutukana viongozi wa nchi tunakufuata physically
Wewe umelianzisha kama vita unaijua. TutaonaAchana na Mimi fanya Yako hunilishi na hinitishi.
Wewe umelianzisha kama vita unaijua. Tutaona
Jaribu tena kutukana viongozi wa nchi uone sasa. Unadhani tupohapa kuleta upumbavu.
Mbona wanatukanwa hapa Jukwaani na huna Cha kuwafanya ?Jaribu tena kutukana viongozi wa nchi uone sasa. Unadhani tupohapa kuleta upumbavu.
Just wait. IDs zako zinajulikana. Na wewe unajuliakana. Endelea kutukana viongozi wakuu wa nchi. Just a warning.Mbona wanatukanwa hapa Jukwaani na huna Cha kuwafanya ?
Rudi jukwaa la siasa kaanzishe mada ya Rais uone kama hujaja kujificha huku kukwaa la Wakenya.
Fanya Yako wewe punguani,Niko humu Toka 2017 na sijaanza kumnanga Mwendazake Leo au Jana ni since hajawa Rais,akiwa Rais na hata baada ya Kufa.
So long as Washabiki wake wapo na hawaungi mkono aliyepo na Mimi naunga mkono battle itaendelea.Waambie wakusimjlie vizuri wananielewa vyema sana.
Sio kama mnafiki uliyebdbwa huko uliko.
Wewe jamaa ni makuMbona wanatukanwa hapa Jukwaani na huna Cha kuwafanya ?
Rudi jukwaa la siasa kaanzishe mada ya Rais uone kama hujaja kujificha huku kukwaa la Wakenya.
Na wewe ni 🌈🌈Wewe jamaa ni maku
Kipi unacholinda wewe ikiwa Rais anayukanwa na unakenua tuu humu Jukwaani.Watu wanaapa kulinda Katiba na Rais tu. Sasa kama unadhani uhuru wa kujieleza umekuzidi uwezo endelea kutukana tukuone.
Mbona wanatukana Rais Samia humi jf na hakuna unachofanya? Wewe unalinda Rais yupo?Just wait. IDs zako zinajulikana. Na wewe unajuliakana. Endelea kutukana viongozi wakuu wa nchi. Just a warning.
I told you kama umeamua kuongelea Maendeleo ya Rais Samia ongelea maendeleo ya Rais. Achana na kutukana Marais wengine, hiyo siyo kazi yako. Kama unataka kujipatia kazi hiyo ya kutukana Viongozi wakuu wa nchi kuna ghalama zake.Kipi unacholinda wewe ikiwa Rais anagukanwa na inakenua tuu humu Jukwaani.
Wale naokwatuzana nao ni wale wanaotukana Rais unaedai unamlinda,wewe unalinda Rais yupo Sasa.
Unadhani kutukana Viongozi wa nchi waliopita inakupa uhalali wa kumtetea Rais Samia? Tumia akili kijana achana na kutumia hisia. Utakuja kuumia bure.Mbona wanatukana Rais Samia humi jf na hakuna unachofanya? Wewe unalinda Rais yupo?
Iam telling you too,unalinda Rais yupo ikiwa humu Jukwaani Rais Samia anatukanwa na uko kimya? Sio tuu anatukanwa Bali wanamlinganisha na huyo ambae wewe unataka asitukanwe.I told you kama umeamua kuongelea Maendeleo ya Rais Samia ongelea maendeleo ya Rais. Achana na kutukana Marais wengine, hiyo siyo kazi yako. Kama unataka kujipatia kazi hiyo ya kutukana Viongozi wakuu wa nchi kuna ghalama zake.
Kwa taarifa Yako tuu nilikuwa tayari kuumia since Mwendazake ni Rais ,haya unayoongea wewe ni marudio.Unadhani kutukana Viongozi wa nchi waliopita inakupa uhalali wa kumtetea Rais Samia? Tumia akili kijana achana na kutumia hisia. Utakuja kuumia bure.
Mzee unadhani Ku Comment kwenye Jukwaa la Kenya ni Kumtetea Rais Samia?Iam telling you too,unalinda Rais yupo ikiwa humu Jukwaani Rais Samia anatukanwa na uko kimya? Sio tuu anatukanwa Bali wanamlinganisha na huyo ambae wewe unataka asitukanwe.
Ni hivi popote ambapo nitaweka mada au nitaona Rais Samia anatukanwa na wanaofanya hivyo ni Suku Gang kama kawaida yangu nitatimiza wajibu wangu.
Wewe endelea kulinda tumbo ,kazi ya kulinda Rais imekushinda.