Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha kuna mbuga zenye wenyama tele Tele tourist hub ,kuna mashamba ya maua( horticulture ),viwanda vilivyopo Arusha katu huwez compare na kijiji kidogo chenye shamba la chai kericho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sunshine hotel kericho 4*
Nadhani umeishiwa vya kupost umeanza kuonesha watu wakipika. Kwikwikwi ni dalili za kuwa kichaa hizo. Kajumba kama hako kwa Dar kanamilkiwa na kijana mdogo tu. Kenya mpaka wazungu tu.
 
Haha my friend unataka tucompare huo upizi na kericho?... Umetoroka Iringa , moshi umeamua kahawa....haha Iringa inakaa ya zamani iko na kutu.
Kama is a very small town. Na sasa inaanza kukutoa kamasi. Sasa tukija sehemu kubwa kama Iringa na Moshi si utatoa mavi {matani kidogo}
 
Picha za iringa ndio imefanya niamini hakuna towns zingine Kali Tanzania... Kumbe kericho ni moto
Fungua uzi wa kericho vs Moshi
Nakupa tu dokezo Moshi kuna kiwanda kikubwa cha sukari TPC, Viwanda vya soda, beer,kahawa,cement nk
Moshi kuna zonal hospital kcmc ambayo inatoa tertiary health-care
Moshi iko na university mob...infact Moshi can beat you hands down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…