CBD mara nyingi wanaishi investors na wafanya biashara wakubwa sana+600000 mathare bado soweto utakuta hapo wanaposema cbd ni 50000 tu
Ndugu yangu ulimwengu wa umaskini upo Africa, kwenye nchi Kama Kenya na nyinginezo.Unamaanisha world yote ina poverty ama...tumia kiswahili plz
Na hii raman itakuonesha vzr kuona area ya city center na area ya slums in nairobi😀😀😀😀+600000 mathare bado soweto utakuta hapo wanaposema cbd ni 50000 tu
Watakuja kusema slum sio tatizo watakimbilia kusema uchumi wao ni mkubwa city imezungukwa na slum sijui ni ufugaji wa kambare[emoji1]Na hii raman itakuonesha vzr kuona area ya city center na area ya slums in nairobi😀😀😀😀
View attachment 638079
Uchumi wakupika ikiwa debt to GDP is 60% hapo kuna uchumi😀😀😀😀😀Watakuja kusema slum sio tatizo watakimbilia kusema uchumi wao ni mkubwa city imezungukwa na slum sijui ni ufugaji wa kambare[emoji1]
Ukame, njaa, nusu jagwa, slum, ukabila, madeni, ulaghai, kupenda sifa, kujifanya ma english-rat, kushindia sukuma wiki uku uchumi ni mkubwa hiyo ndio kanya ya middle economyUchumi wakupika ikiwa debt to GDP is 60% hapo kuna uchumi😀😀😀😀😀
The gor one is made in Kenya.. Singida fully importedTimu changa sana tanzania ila inamiliki basi zuri sana
Singida utd
View attachment 638068 View attachment 638069
Wakati gor mahia inamiliki hii😀😀😀
View attachment 638070
Unajua wewe ulipewa kazi na jamii forums kuengage wakenya sisi tunainvest seriously huko mashinani hapa tao nkudunga job nakuenjoy.😀😀😀😀😀 Uitoe wapi subutu
Leta jengo moja kwa mojaI believe that cathedral is this one
View attachment 638042
Halafu naomba uweke picha ya aerial view,
Don't play tricks, nikianza kuleta jengo mojamoja hapa hapatatosha
Those are the immediate photos in Google........town za hawa wasee looks neolithic and the poverty is right in the middle of their towns.sad
No need labda kericho vs arushaAnzisha thread iringa vs kericho yani ukitoka salama basi wewe mwanaume kweli😀😀😀😀
Tz hatuna jangwa.Iko jangwani kwani?
Kericho kuna mashamba ya chai tu na nyumba 3 za floor tano hadi 9 ndio uweke2na Arusha yenye 5* Hotels 10,4* 24 ,3*50+ Na zaidi na zaidi. ..No need labda kericho vs arusha
Kericho kuna 13 floor msee...alafu 1000 acres of tea has been surrendered for expansion of the townKericho kuna mashamba ya chai tu na nyumba 3 za floor tano hadi 9 ndio uweke2na Arusha yenye 5* Hotels 10,4* 24 ,3*50+ Na zaidi na zaidi. ..
Sometimes uwe na aibu
Arusha kuna mbuga zenye wenyama tele Tele tourist hub ,kuna mashamba ya maua( horticulture ),viwanda vilivyopo Arusha katu huwez compare na kijiji kidogo chenye shamba la chai kerichoKericho kuna 13 floor msee...alafu 1000 acres of tea has been surrendered for expansion of the town
Hua ni mgumu kutoa sifa lakini maswali yakishenzi hakosiTz hatuna jangwa.