Umemjibu vizuri huyo Mkora,Kibera ndio sehemu wanaishi wakenya wengi sana 2.5 million people, not a jokeππππ robo tatu ya nairobi nzima iko kibera slum
Bado slums zingine kama mfano makuru kayaba wanaishi watu zaidi ya 700k imagineπππππUmemjibu vizuri huyo Mkora,
Kibera wanakaa 60% ya wakazi wa Nairobi.
Ni lazima tuoneshe sehemu inayokaliwa na wakazi wengi zaidi Nairobi.
porojo nayo.[emoji23]Its called volcanic soils...they are red and rich in agricultural activities.... They are found in tea growing regions like Kiambu,nyeri,meru,kericho,kisii,bomet and nandi counties
Uko na google jielimisheporojo nayo.[emoji23]
Hujui kericho wewe....kenya highest foreign exchange earner ni tea na kericho/bomet inaproduce 70% of thatLabda ile kericho nisioijua mimi kama ndio ile ile basi be seriousππππ
The leading producer of tea in the world of poverty.Sasa town iko na kutu inakaa ilijengwa world war 1 ..mnacompare na kericho the leading producer of black tea in the word
Bahati nzuri kericho ni sehemu nimetembea sana nikiwa naelekea kisumuπππ collo kuna miji kenya wewe huwez kunidanganya mm, mm najua mashamba yote ya chai kericho yanamilikiwa na settlers au kwa lugha nyingine wazungu investorsHujui kericho wewe....kenya highest foreign exchange earner ni tea na kericho/bomet inaproduce 70% of that
Na jambo ambalo hua linaniskitisha sana nikipita kericho ni pale napoona waajiriwa farmers wanaishi humu ππHujui kericho wewe....kenya highest foreign exchange earner ni tea na kericho/bomet inaproduce 70% of that
My friend huwezi ni danganya ata kidogo wewe ata dar hujatoka nje...Mara umeenda Mombasa,Mara kericho,Mara eldy ....majority chai hutoka kwa wakulima 75% na chai za multi nationals ni 25%....google "tea bonus" in kericho ujue vile wakulima wana doo mbayaBahati nzuri kericho ni sehemu nimetembea sana nikiwa naelekea kisumuπππ collo kuna miji kenya wewe huwez kunidanganya mm, mm najua mashamba yote ya chai kericho yanamilikiwa na settlers au kwa lugha nyingine wazungu investors
Iyo nyumba ina maji,stima security na sio ovyo kama nyumba za darNa jambo ambalo hua linaniskitisha sana nikipita kericho ni pale napoona waajiriwa farmers wanaishi humu ππ
Yani settlers( wazungu) wanawakamua mpaka makamasi
View attachment 638067
Sikulazmishi uamini sana lakin huo ndio ukweli sikatai wanalima chai ila mashamba yote ni ya wazunguππMy friend huwezi ni danganya ata kidogo wewe ata dar hujatoka nje...Mara umeenda Mombasa,Mara kericho,Mara eldy ....majority chai hutoka kwa wakulima 75% na chai za multi nationals ni 25%....google "tea bonus" in kericho ujue vile wakulima wana doo mbaya
Unamaanisha world yote ina poverty ama...tumia kiswahili plzThe leading producer of tea in the world of poverty.
Mimi binafasi nina acre 5 ya chai ...iyo pia niya wazungu?Sikulazmishi uamini sana lakin huo ndio ukweli sikatai wanalima chai ila mashamba yote ni ya wazunguππ
Au kwa lugha nyepes investors, na wakenya ni waajiriwa wakulima na wavunaji mazao
+600000 mathare bado soweto utakuta hapo wanaposema cbd ni 50000 tuKibera ndio sehemu wanaishi wakenya wengi sana 2.5 million people, not a jokeππππ robo tatu ya nairobi nzima iko kibera slum
Masikini nchi ya wakenya alaf wazungu settlers ndio wanaofaidi na kupeleka pesa kwao ilihali raia wanaishi kwenye mabanda ya bata πππIyo nyumba ina maji,stima security na sio ovyo kama nyumba za dar
πππππ Uitoe wapi subutuMimi binafasi nina acre 5 ya chai ...iyo pia niya wazungu?
rudi shule ukasome vizuri kuhusu geographical features za eneo lenye jangwa...tangu lini eneo lenye jangwa linakuwa na uoto wa asili wenye mimea ya green?.[emoji23] [emoji23]Iko jangwani kwani?
Ni ufugaji wa kuku au mizinga ya binadamu[emoji1]Masikini nchi ya wakenya alaf wazungu settlers ndio wanaofaidi na kupeleka pesa kwao ilihali raia wanaishi kwenye mabanda ya bata πππ
View attachment 638074