Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkundustan, where is ur Spartan for rescue mission n firefighting?
 
Kileleshwa
View attachment 2893215View attachment 2893216View attachment 2893217View attachment 2893218View attachment 2893219View attachment 2893220
Kule south, Tanzanians will post Posta, Kariakoo na ghorofa tano za Kijitonyama usiku na mchana
Uyo kama kawaida mzee wa apartments na picha zake hizo hizo kila mwaka, watu tunazidi kuendelea kwa kuweka vitu vipya vya kisasa yeye daily ni picha hizo mpaka Dodoma imeanza ku beat nairobi kwa hivi vijumba yeye bado anavyo tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa ndio naona hii list ya UONGO.
KWA KIPI HASA WEWE NAIROBI UIZIDI JAKARTA IN TERMS OF WEALTH??
NA KWA AKILI ZAKO UNAKAA UNAAMINI.
Mpaka Bucharest wewe Nairobi umeizidi kwa kipi?
Kingereza ndio huelewi, siezi kukulaumu for that😂
 
View attachment 2893226
TPDF hainaga show mbovu wala kupiga selfie,soma hiyo notice wale mbwa mk23 moto wanaotembezewa wameanza kuomba poo
Wakenya bado mnadhani TPDF ni jeshi la mchezo mchezo, wote someni hii kimya kimya wala hatuhitaji views zenu, another successfully mission to the bank maamaee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…