Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona unavyochekesha we kijana.
Wakazi wa hayo maeneo hata elfu kumi hawafiki.
Hayo maeneo watu wamejenga pasi na mitaa kunyooka ila hapo hakuna mrundikano wa watu kama unavyodai.
TOKA LINI MAKAZI DUNI HUJENGWA KWA MATOFALI??
HIVI MATOFALI NI UJENZI DUNI???
NYUMBA ZOTE ZA HAPO ZA TOFALI.
 
Kuns slums Tanzania, tena mingi. And according to World Bank 41% of Urban Tanzanians live in slums.
Niletee hiyo world bank report hapa.
Tanzania hakuna slums kuna unplanned settlements.
Na bahati mbaya maeneo ya miji ya hovyo yanavunjwa.
Njoo uone mabadiliko yanayofanyika kila siku huku.
 
Kwani unadhani Peace Keeping is not a mission. 😂😂😂 Go for your school fees refund if you can't grasp simple English.
Peace keeping ni mission ila sio operation.
Tunataka mtuambie millitary operations mlizofanikisha.
Mission mara nyingi huwa sa ku impose threat to the enemies,ila operations involves engagements.
Tuleteeni operations mlizofanikiwa.
 
Show off tu but hawana nidhamu ya kijeshi ndio maana wanauza mkaa somalia huko,wiki tu vilio vimeanza congo huko,stay tuned picha bado kabisa kule
Jeshi Leni ni waogo ndio maana wanauliwa kwa mapanga😂😂
 
Kaweka kiduku kichwani, kifuani ana lapa la nguvu kama ananyonyesha kijiji! Na miguu ana ngeu kama anatembelea magoti! Aisee classy hainunuliwi, ushago haitoki kwa mutu hata aishi Ikulu? hii maneno ni usugoi kusumbua wazungu weusi! Chaiii!
Kunyaland hawana class kabisa hata huenda hawajui antiques wapo kama wamezinduliwa kutoka chaka fulani msimu wa palizi kumbe ndio first family hiyo 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…