Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hasira ya nini? Tena sio render?🤣🤣😂🤣 Tatu is hundred miles ahead of Dodoma.

Look at the quality of that structure then compare with those dull buildings in Dodoma.
Yani nimeshtuka kuskia tatu CBD alaf nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unaniuliza nakuja kufanya nn nakuja kwenye harusi tu 😅😅😅😅😅😅
Harusi ya kulala kwenye slums za kaloleni Kisumu?🤣😂😂
Huwa unakesha Kaloleni every year, I think huko huwa unakaa anytime umekula Kenya🤣🤣😂
 
Yani nimeshtuka kuskia tatu CBD alaf nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Saa hii tatu imeshinda Dodoma 10 nil. Dodoma Haina CBD, Dodoma aina industrial area na ati inaitwa city🤣🤣😂🤣
 
Harusi ya kulala kwenye slums za kaloleni Kisumu?🤣😂😂
Huwa unakesha Kaloleni every year, I think huko huwa unakaa anytime umekula Kenya🤣🤣😂
Kaloleni tena hahahahahaha kweli nakuumiza sana kichwa au kwa vile nilienda kuchukua picha za slum basi ukajua na mm mtu wa slum ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Saa hii tatu imeshinda Dodoma 10 nil. Dodoma Haina CBD, Dodoma aina industrial area na ati inaitwa city🤣🤣😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kaloleni tena hahahahahaha kweli nakuumiza sana kichwa au kwa vile nilienda kuchukua picha za slum basi ukajua na mm mtu wa slum ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ni wa slum. Tena Kaloleni kabisa😂🤣😂
 
Sina muda wa kukuonesha kwasababu kila siku unaoneshwa, haina haja ya kuumia kwa leo 😅😅😅😅😅
There's nothing in Dodoma tofauti na dirty unmarked roads and ugly buildings 🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…