Kama haimaanishi chochote basi waitoeuchumi wa China unakua kwa pole ukilinganisha na Tanzania...sasa hii ina maana Tanzania wako mbele ya China sio? tumia akili ndugu...high growth rate haimaanishi chochote...
vizuri bas...nikiweza nitafika kule niwaone akina Bulldozer, Netanyahu, Kagame etcNi official kweli taarifa kutoka kwa msemaji wa ikulu kwamba j4 tar 28 atakuepo kwenye kumuapisha elect- president Hon Uhuru Kenyatta!!
China 6.7% annual change (2016)ππππKama haimaanishi chochote basi waitoe
Gdp ya nairobi iitoshe tanzania endeela kuota πππni kwli haipndezi ila uchumi ndio huo bado mkubwa kuliko yenu...πππmi nakwambia GDP ya Naiobi tu inawza kuwa imeishinda ya Tz nzima..ni data tu nimekosa
ndio GDP ya Nairobi tayari imeshinda ya Uganda nzima...sasa tuje kwa Tz hata kama iko chini sidhani ni kwa mbali sana...inaweza kuwa zimakaribianaππGdp ya nairobi iitoshe tanzania endeela kuota πππ
Wewe una matatizo sana, sijui ni shule gani umesoma wewe, sasa kwa sababu 2% ni kubwa kwa hiyo haifanyi vibaya?, hivi unajua budget ya USA kwa mwaka ni kiasi gani?, je hiyo 2% inatosha kuhimili matumizi ya nchi nzima?, unajua deni la taifa la USA limefika kiasi gani hivi sasa?, unajua ni kiasi gani USA inakopa toka China kila mwaka?, hukumbuki uchumi wa marekani kipindi cha Bush ulikuwa katika recession Ubama ndiye amekuja kuufufua?, uchumi wa Marekani haufanyi vizuri hata kidogo, sera ya Trump is to make America great again, why?USA haifanyi vibaya my friend...ebu fanya 2% of 18 trillion dollars ujionee...
Asante kwa povuππππndio GDP ya Nairobi tayari imeshinda ya Uganda nzima...sasa tuje kwa Tz hata kama iko chini sidhani ni kwa mbali sana...inaweza kuwa zimakaribianaππ
america is already great...sasa unataka kumaanisha kuwa sera ya make america great again ndio confirmation ya kuwa USA inafanya vibaya? yaani sera tu? ww ni punguani wallahi...usiniquote tena...mimi kujadili na mjinga sipendi...yaani hata afadhali ichoboy..Wewe una matatizo sana, sijui ni shule gani umesoma wewe, sasa kwa sababu 2% ni kubwa kwa hiyo haifanyi vibaya?, hivi unajua budget ya USA kwa mwaka ni kiasi gani?, je hiyo 2% inatosha kuhimili matumizi ya nchi nzima?, unajua deni la taifa la USA limefika kiasi gani hivi sasa?, unajua ni kiasi gani USA inakopa toka China kila mwaka?, hukumbuki uchumi wa marekani kipindi cha Bush ulikuwa katika recession Ubama ndiye amekuja kuufufua?, uchumi wa Marekani haufanyi vizuri hata kidogo, sera ya Trump is to make America great again, why?
Mimi hua nafurahi kuona vile povu lako linavotoka kwa nidhamuπππππumeishiwa...ππ
sawa na hili la China kupanuka kwa 6.7% ilhali Tz inapanuka kwa 7%...Tanzania imewapita wachina sio?πππBu the way, Tz is now a developed country because it is growing faster than China and USA combined...ππMimi hua nafurahi kuona vile povu lako linavotoka kwa nidhamuπππππ
Wewe ni kichaa kabisa wewe, nimekuuliza mambo mengi hapo yanayoonyesha kwamba uchumi wa Marekani haufanyi vizuri, hujajibu hata moja umeamua kukimbilia la mwisho pekee, mimi nina wasiwasi sana na elimu yenu huko, zaidi ya kufundisha kiingereza na ukabila, hamna zaidi mnalojifunzaamerica is already great...sasa unataka kumaanisha kuwa sera ya make america great again ndio confirmation ya kuwa USA inafanya vibaya? yaani sera tu? ww ni punguani wallahi...usiniquote tena...mimi kujadili na mjinga sipendi...yaani hata afadhali ichoboy..
Economic studies ilikupiga chenga unachoongea wewe nitafauti na mjadala ulivo tuliza akili bro πππsawa na hili la China kupanuka kwa 6.7% ilhali Tz inapanuka kwa 7%...Tanzania imewapita wachina sio?πππBu the way, Tz is now a developed country because it is growing faster than China and USA combined...ππ
tafadhali si mtukopeshe basi angalau tujenge reli jinsi mlivo developed tanzaniaπππ
Exim Bank of Tanzania watukopeshe pia tujenge stadiumππ
Tanzania is largest economy in Africa jinsi inavokua kwa 7%...hata Nigeria haijafikisha 3%ππ
Unaumwa wewe, huna uwezo wa kufanya analysis kubwa kama hizi, kama lishe ni kidogo kutokana na njaa ya muda mrefu kama ya Kenya, watoto wanadumaa ubongo, hivyo sio rahisi kuwa na uwezo wa kufikiria jambo kwa undani, pole sana.sawa na hili la China kupanuka kwa 6.7% ilhali Tz inapanuka kwa 7%...Tanzania imewapita wachina sio?πππBu the way, Tz is now a developed country because it is growing faster than China and USA combined...ππ
tafadhali si mtukopeshe basi angalau tujenge reli jinsi mlivo developed tanzaniaπππ
Exim Bank of Tanzania watukopeshe pia tujenge stadiumππ
Tanzania is largest economy in Africa jinsi inavokua kwa 7%...hata Nigeria haijafikisha 3%ππ
Nimekuambia acha matusi, ninafahamu huko kwenu ni watu wa kupigana risasi kila siku, hamjui neno ustaarabu, hii JF inawafundisha sana jinsi ya kuwa wastaarabu.
Nimesema kitu r nacho ni kimoja tu, GDP, the rest Tanzania is ahead of you.
1)Biggest airpot
2)Modern electrical SGR
3)Low poverty level
4)Faster economy growth
5)No food shortage
6)Low inflation rate
7)United and peaceful country
8)Biggest port by 2022
9)Narrow gap between rich and poor
Vs
Kenya
1)Bigger GDP
2)Bigger GDP
3)Bigger GDP
[emoji1] [emoji1]
Tanzania your dreams are valid... Meanwhile you have to wake up coz people are already living your dreams and they are not even satisfied about it...Nimekuambia acha matusi, ninafahamu huko kwenu ni watu wa kupigana risasi kila siku, hamjui neno ustaarabu, hii JF inawafundisha sana jinsi ya kuwa wastaarabu.
Nimesema kitu r nacho ni kimoja tu, GDP, the rest Tanzania is ahead of you.
1)Biggest airpot
2)Modern electrical SGR
3)Low poverty level
4)Faster economy growth
5)No food shortage
6)Low inflation rate
7)United and peaceful country
8)Biggest port by 2022
9)Narrow gap between rich and poor
Vs
Kenya
1)Bigger GDP
2)Bigger GDP
3)Bigger GDP
[emoji1] [emoji1]
Are you free from; hunger, poverty, insecurity, slums, big gap between poor and rich, high inflation?, these are basic and important for every person before you think big things like electrical trains which you will never get in our life time.Tanzania your dreams are valid... Meanwhile you have to wake up coz people are already living your dreams and they are not even satisfied about it...
https://pbs.twimg.com/media/C4ZNIf9WQAAkgMy.jpg
https://kaa.go.ke/wp-content/uploads/2016/04/JKIA-T109.jpg
Cargo centre
Garage
Imports delivery