Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Whatever you want to believe that's on you. If Turks are Persians to you, well and good πŸ‘πŸ™
 
Nimesoma mtaala wa hao watu na nimesoma nao na kuishi nao.
Ni sawa umbishie mtu alosoma mtaala wa malkia katika shule za malkia.
Ila tufanye yameisha.
 
Nimesoma mtaala wa hao watu na nimesoma nao na kuishi nao.
Ni sawa umbishie mtu alosoma mtaala wa malkia katika shule za malkia.
Ila tufanye yameisha.
Hamna tatizo braza. If Turks are Persians to you well and good.
 
And you are dead serious a website called medium.com is your source
Kenyans do not have the ability to discuss. That's why your social networks are full of insults. Here is JF. Hide your stupidity, put your wisdom here, let's discuss.

If you don't even have an argument, you just insult and talk about things without any facts. That's childhood.
 
Whatever you want to believe that's on you. If Turks are Persians to you, well and good πŸ‘πŸ™
Kitu kimoja unatakiwa ujue we jamaa, history ni uwanja mpana, sio kila ulichojifunza wewe ukadhani na wengine wanajua hivyo, zipo studies nyingi sana ambazo wakufunzi wanapingana, eg wengi tumesoma alie discover New world ni Christopher Columbus lakini wapo wakufunzi wanapingana na hilo na wanatoa hoja Zenye mashiko ... na sio eti mtu akipingana na ulichosoma wewe kwamba ni chizi au hajui kitu. Unaweza ukapigwa facts hadi ukakimbia humu
 
Sasa unataka kulia?πŸ˜‚
 
Sio football Nation tena ? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I have surrendered guys. I now believe that Turks are Persians πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kaka huyo kijana muacheni.
Hana anachokijua atawapa shida.
 
Moderator please action on this .
 
Broh you need to remember thisπŸ‘‡
"before you argue with someone, ask yourself, is that person even mentally mature enough to grasp the concept of different perspectives? "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…