Somaliland ni nchi inajitegemea unaipangiaje sheria?? Wakat ina sheria zake na hao wasomali wapo wakitumika kwa maslahi ya nchi zingine π π πSomalia wasikubali upumbavu wa kuingiliwa ,ndio upumbavu ambao Huwa naongea huo Sasa.
Jitahidi kabla hujafungua kipumulio soma kwanza uone dunia iko wapi π π π πSomalia wasikubali upumbavu wa kuingiliwa ,ndio upumbavu ambao Huwa naongea huo Sasa.
Ina ubalaozi Tzn au AU? Toa ujinga wako hapa.Somaliland ni nchi inajitegemea unaipangiaje sheria?? Wakat ina sheria zake na hao wasomali wapo wakitumika kwa maslahi ya nchi zingine π π π
Hvi ww ushawah sikia somaliland ina migogoro na nchi nyingine ????
Zanzibar ina muungano itajitenga vp??Ina ubalaozi Tzn au AU? Toa ujinga wako hapa.
Ukiunga mkono hiyo manake unataka na Zanzibar ijitenge,Kabinda,Tigray Ijitenge,Western Sahara inayogombana na Morocco wajitenge nk nk. Si ndio?
We mbuzi,nasema hivi hiyo Somaliland Ina Ubalozi Nchi gani? Taiwan Ina Ubalozi Nchi zipi?Jitahidi kabla hujafungua kipumulio soma kwanza uone dunia iko wapi π π π π
View attachment 2874883
Kwani mara ngapi hawataki huo Muungano mbawalazimosha?Zanzibar ina muungano itajitenga vp??
Somaliland haina muungano ni nchi huru inayojiendesha na tena ina uchumi imara haina hata mgao wa umeme π π π π
Na utambue kwa sasa kinachofanyika dhidi ya somaliland nyuma yake ni mkenya mwenye maslahi na lapset unatakiwa uwe na akili kubwa kufikiri hayaIna ubalaozi Tzn au AU? Toa ujinga wako hapa.
Ukiunga mkono hiyo manake unataka na Zanzibar ijitenge,Kabinda,Tigray Ijitenge,Western Sahara inayogombana na Morocco wajitenge nk nk. Si ndio?
Ubalozi ndio inatambulisha nn haha ww kweli chizi katika maisha yako hata hio somaliland ulikua huijui ndio kwanza umeijua hvi karibuni π π π π π πWe mbuzi,nasema hivi hiyo Somaliland Ina Ubalozi Nchi gani? Taiwan Ina Ubalozi Nchi zipi?
Toa upumbavu hapa
Huu mchezo wao wa kitoto tulishaachana nao mkuu, tushatoka huko na tunawapelekea moto π₯π₯ kweli kweli.Jitu linasema Oldonyo Lengai ni yao, yaani mpaka creator wa video tiktok anawasahihisha bado vichwa ngumu.
Alafu Badae linakuja hapa kusema We don't depends Tz on anything,
Will Smith kaandika kabisa Serengeti, mpaka unaona nembo ya TANAPA ila inakazana Masai Mara.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwani mara ngapi hawataki huo Muungano mbawalazimosha?
Somaliland ni Jimbo la Somalia sio Nchi.
Wasiotaka ni kina nani ?? Mbona hawavunji sasa kama hawataki ww usilete siasa za pwagu na pwaguzi hapa π π π π πKwani mara ngapi hawataki huo Muungano mbawalazimosha?
Somaliland ni Jimbo la Somalia sio Nchi.
Ndio wamewanyoosha Sasa Ethiopia wakileta fyatu Hauthi watatimba Addisπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Leta evidence kua ni jimbo nikuoneshe paka mwenye upwiru
Mnawakandamiza Kwa mabavuWasiotaka ni kina nani ?? Mbona hawavunji sasa kama hawataki ww usilete siasa za pwagu na pwaguzi hapa π π π π π
Now ushakubali au sio, mbn una act kama mwanamke malaya? Wewe ungebaki na msimamo wako ule ule kwamba hamtotupa kibao cha kuleta cargo plane huko na sio kuwa kigeugeu.Tumewakaribisha mkuje mupeleke maua India. π π π π
Veanus your source is wikipedia. Huna hata aibu. Enyewe wabongo mnakuanga mafala. π π πUnamdanganya nani mzee.
Kwanza vijidege vyenyewe vidogo vidogo. Tena vipo 3 tu.
View attachment 2874875
Inatambulisha kwamba hiyo ni Nchi huru vinginevyo ni territory tuu Mali ya SomaliaUbalozi ndio inatambulisha nn haha ww kweli chizi katika maisha yako hata hio somaliland ulikua huijui ndio kwanza umeijua hvi karibuni π π π π π π
Wewe toa ujinga,Mkenya awe nyima ya Somaliland badala ya Somalia?Na utambue kwa sasa kinachofanyika dhidi ya somaliland nyuma yake ni mkenya mwenye maslahi na lapset unatakiwa uwe na akili kubwa kufikiri haya
Lakini somaliland ni nchi huru inajitegemea na imepiga hatua vibaya mno kiuchumi na kijamii π π π π π π
Ndio maana nimekwambia mpaka uwe na akili kubwa ndio utaelewa dunia ilipoWewe toa ujinga,Mkenya awe nyima ya Somaliland badala ya Somalia?
Somaliland,Puntland zote ni Mali ya Somalia,anaetaka Bandari aende Mogadishu sio Kupitia mlango wa nyuma.
Hakuna military base itaruhusiwa