Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naliamsha dude:
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
 
pumbav...ushakuwa nabii sasa...tulia kwanza marais waje kisha upanue huo mdomo wako unaonuka choo...
Over 100,000 people among them 20 heads of states are expected to attend the inauguration.
Hivi nikumbushe, sio wewe uliyesema kwamba pambavu alianza kuwa baba yako pale alipodanganywa na mama yako kwamba mimba ni yake wakati wewe ni mtoto wa baba mwengine(Ujumbe; acha kutukana bila sababu za msingi).

Hiyo nchi yenu inajulikana kwa kupenda kusema mambo yasiyokuwa ya ukweli bila ushahidi ila kujipatia sifa za kijinga, kama ni kweli angetaja majina ya hizo nchi zilizothibitisha kuja, kwanini anataja idadi bila majina kama kweli hizo nchi zimeshathibitisha?, kwani kuna usiri gani?, ila tunawajua wakenya mlivyo kwa kupenda sifa, hatuwashangai.
 
naliamsha dude:
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
 
la nadhani unazungumzia babako na mamako...πŸ˜€πŸ˜€
 
ukiachia magorofa ya wakikuyu wachache,leta nyumba zenu binafsi mnazomiliki hapo hapo nairobi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
watu wanamiliki manyumba county zilizopakana na Nairobi haswa kwa sababu ya bei ya ardhi...kule Tatu city mashamba yamenunuliwa sana na pia Athi River ukielekea Mombasa na kule Kajiado County, Ongata Rongai...Nairobi ina ardhi ya bei ghali sana kwa sababu ni jiji lenye umuhimu kabisa ukanda huu...all international companies are coming here to set up headquarters...kwa hivyo huwezi ukafananisha bei ya ardhi Nairobi na bei ya ardhi Dar...Nairobi kwa umuhimu wa biashara na aviation inakaribia Johannesburg na Cairo...kaulize bei ya ardhi ktk miji hii kisha uje uniambie...
mfano, wakenya wangekuwa wanaishi Dar basi kila mtu angekuwa na ardhi yake hata watu maskini kabisa....ardhi Dar ni bei rahisi sana mbona mtu akose nyumba?...maajabu ni kumwambia mtanzania aje anunue ardhi Nairobi...he cannot afford even a quarter of an acre...Da is an insignificant city...Thats why land is cheap...ila njoo kwa zile zinafahamika kama (regional hubs) Cairo, Nairobi, Casablanca, Johannesburg na kadhalika ujionee mazingaombwe
 
nonsense everπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ cha kuskitisha ardhi ya nairobi inamilikiwa na investors, politicians na wale wafanyabiashara wakubwa ila waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi
 
nonsense everπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nikiona umejibu hivi najua sindano imeingia vzr...nilkua nangoja unipinge kwa kutumia facts ila asante ushainua mikono...ukweli ni kuwa, mimi hapa ningekuwa naishi Dar ningekuwa sasa hivi nina nyumba kadhaa...ardhi bei rahisi kama pipi...sababu kubwa ya hili ni kuwa Dar sio mji muhimu kibiashara kama vile Nairobi (hub)...hawa wazungu wanaoleta headquarters jijini ndio wamesababisha ardhi kupanda sana...
 
nonsense everπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ cha kuskitisha ardhi ya nairobi inamilikiwa na investors, politicians na wale wafanyabiashara wakubwa ila waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi
 
nonsense everπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ cha kuskitisha ardhi ya nairobi inamilikiwa na investors, politicians na wale wafanyabiashara wakubwa ila waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi
ndio maana yule jamaa El matador alikwambia hata watu wa Kibera ni wamiliki wa ardhi Kisumu na maeneo mengine nchini Kenya...Nairobi tunabakisha tu kwa biashara...sio kwa kuishi ama kununua nyumba...tupo hapa kwa ajili ya kazi na masomo...tukitaka kutulia tunanunua ardhi miji mingine...mfano GDP ya Nairobi pekee inaweza ikawa kubwa hata kuliko GDP ya Tanzania nzima...hivyo huwezi uka expect ardhi iwe bei ya peremende...
 
hebu rudia kauli yako unasema dar sio mji muhimu wa biashara hvi bro wewe uko serious kweli????? hvi unaujua mji wa biashara ukanda huu wa africa mashariki????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hebu tuanze hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…