Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naona uhuru mda ambao hiyo picha ilipigwa,alikuwa kashavuta bangi na kutafuna maraa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
alishtuka kuambiwa mchina kampiga kwenye SGR😀😀😀😀😀
 
Uache kutufananishia nchi yetu pendwa Tanzania na nchi kama Nigeria, hebu tuwie radhi, we t not like them and they will never be like us,
Yet who told u Nairobi ina maeneo machache ya Hovyo?
Do u know Kibera is the Largest Slum in the Universe?? With 2.5mn residents??




And this is only one, How many slums are in Nairobi?
Uncountable, isn't it?


And besides,
Thise are two photos Dar vs Nai taken from relatively the same heights,

Nairobi

Vs

Dar


Calm down your ego,
Nairobi is just a poor city from poor country Kenya.
 
Tuna picha za upperhill na kilimani pia
 
Tuna picha za upperhill na kilimani pia
 
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…