Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante IMF...GDP ya mikopo na madeni
GDP yote ya kenya asilimia 60 ni deni alaf wapuuzi wanafungua midomo hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Asante IMF...GDP ya mikopo na madeni
GDP yote ya kenya asilimia 60 ni deni alaf wapuuzi wanafungua midomo hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 636032
kwa hiyo, serikali itachukua asilimia yote 60 ya GDP ilipe deni kwa safari moja sio?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ujinga ulionao ndugu unanipa wasiwasi...hivi unajua maana ya GDP?

asilimia kubwa ya GDP ya nchi hata haiko mikononi mwa serikali...iko kwa watu binafsi na makampuni...kwa hiyo unamaanisha wachina wataenda kwa watu binafsi kuwaambia walipe deni kisha tubaki na asilmia 40 sio?πŸ˜€πŸ˜€huwa mnafunzwa nini bongo?
 
Alafu Japan GDP to dept ratio ni 250% ya GDP
Japan sio size yako kwenye GDP, japan is among top 10 powerful economic country in the world, wewe usipeleke akili yako stage ya 100 wakat 50 hujapitaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndio maana nimekwambia tuliza ubongo wako
 
Sio mm ni IMF walilie haoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Soma kwa makini hapo juu uelewe
 
Japan sio size yako kwenye GDP, japan is among top 10 powerful economic country in the world, wewe usipeleke akili yako stage ya 100 wakat 50 hujapitaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndio maana nimekwambia tuliza ubongo wako
Haha wewe tuma picha za kibera hauna cha maana
 
Sio mm ni IMF walilie haoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 636041
sasa kwa sababu deni la nchi ni asilimia 60 ya GDP ina maana debtors watachukua hio asilimia 60 safari moja Kenya ibaki na asilimia 40 ya GDP kwa mtazamo wako sio?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mi nakwambia ningepelekwa shule tz najinyonga...mnafunzwa hivi shuleni sio? Hisabati na Kemia...Pwahahaha
 
Ujanja wote kumbe GDP 60% ni deni hahaha
Asante sana IMFπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe mchina wa gari moshi alikuja kupigilia msumari
wachina wanaidai serikali ya Kenya...sio GDP ya Kenya...see this idiot...haha
kisha hii deni hailipwi safari moja...inaweza chukua hata miaka 50 na zaidi kwa hiyo by the time deni linakamilika nchi pengine imefikia GDP ya 500 Billion...
 
Wameambiwa wapumguze na huo ushauri umetoka IMF sasa ikiwa nchi imefkia hatua debt to GDP ratio ni 60% kuna uchumi gani hapo????? Kumbe mbwembwe zote munanuka madeni πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…