Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Natamani kuona current pictures za Kariakoo zinazoonyesha Kariakoo nzima kwa muonekano wa juu, there are more green nets in Kariakoo than the whole of Nairobi. more than 200 high rise buildings are under construction in Kariakoo as we speaking right now. Teargas I want you to know that.
 
Ila Tanzanians bhana wala hatusumbuki na hawa vichaa 🤣tunawaacha wapost vigorofa viwili vitatu Halaf wala hakuna mtu anaehangaika kuonyesha what's going on in Kariakoo alone.

Kwa ujenzi unaoendelea Kariakoo wa ghorofa nadhani speed yake hata Dodoma hawafiki...

Hivi Ile battle ya malori waligoma kuingia kingi hawa kenge wa north?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…