Uganda heb nao wawaachie hawa super power watambe kwenye comfort zone yao. 🤣🤣🤣 Imekua ni kuwanyima amani everywhere, Mradi wa bomba la mafuta mmewanyang'a, deals za bandari mmewanyang'anya hata hiki kikombe cha under 18 pia.? 🤣🤣🤣🙌🙌
🤣🤣🤣 Kiukweli upande huu wanaweza kukimbia mana hizo fleet za truck zinazoingia Bongo mjomba ni balaa watu wanaingiza hadi truck 1000 kwa mkupuo mmoja. Teargas upo tayari tuende ground.? 🤣🤣Hawa kenge wa north walivyo myopic wanaweza kuhamishia chuki zao UG.. Maana ni kama mbwa kichaa.. Yoyote wanaparamia tu..
Hebu walengesheni kwenye battle ya logistics companies.. Upande wa cargo trucks na tankers za fuel.. Maana kwenye mabasi tayari tumewalalia
🤣🤣🤣🤣hiii itakua kivumbi 🤣🤣😁Hawa kenge wa north walivyo myopic wanaweza kuhamishia chuki zao UG.. Maana ni kama mbwa kichaa.. Yoyote wanaparamia tu..
Hebu walengesheni kwenye battle ya logistics companies.. Upande wa cargo trucks na tankers za fuel.. Maana kwenye mabasi tayari tumewalalia
minibus!Bus zakubeba watu 25 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nimekwishwa kwambia kuwa akili yako ni kama kisodaWhy didn't Russian teams quality for UEFA Champions League? If you answer that you will know why Kenyan teams are not in CECAFA and CAF. But the truth remains that Gor is the husband of all Tanzanian teams.
ingia google leo uone TZMake google your frie
Gor mahia ndio nini mbona unafosi tujue vyenu wacha vijitambulishe vyenyewe kama sisi huku kwetu 🤣🤣🤣🤣Come and argue with me the day any Tanzanian team will lift any African tournament trophy. Or the day any of your teams will defeat Gor Mahia in those continental tournaments. As of now you're still children behind Kenya.
Picha zote za upande upande ulizoweka tunazi summarize hapa 👇👇🤣🤣🤣🤣Tatu city new roads, and expensive houses coming up.View attachment 2837373View attachment 2837374
Uyu ni kima tyu ata akili zake azimtoshi cjui Goromalaya hahahaaaa 😁 😁 😁 😁 🤣 🤣Gor mahia ndio nini mbona unafosi tujue vyenu wacha vijitambulishe vyenyewe kama sisi huku kwetu 🤣🤣🤣🤣
Aisee kweli dongokundu 😢😢😢😢Picha zote za upande upande ulizoweka tunazi summarize hapa 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 2837413View attachment 2837411View attachment 2837409View attachment 2837402
View attachment 2837401
Bado mna safari ndefu kuikaribia Dodoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu ambaye haoni soni kuongea uongo kwenye vitu vya wazi akili yake itakuwa fyatu.Wacha kulazimisha battle ambayo hauwezani nayo.. how on earth ulinganishe government city na vimitaa viwili+vi wonder .? 🤣🤣🤣
Ni kubwa sawa na Nairobi yoteMagufuli alikua the best asee. Vision sio kabisa.
View: https://www.instagram.com/reel/C0lnpkWB07w/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
Lakini hiyo haitaboresha makazi ya Kibera😎Hii tutaipost tena na tena hadi wachoke...
Acha tuzidi kuwa enjoy mkuu 😎😎😎Lakini hiyo haitaboresha makazi ya Kibera😎